Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 Jul 18, 2025 Thread starter #101 Teknolojia ni Yetu sote said: M Mpwa ππ sinza utapeli sio poa ukoko 3000 Click to expand... Kule balaaa mpwa nakuogopa balaa
Teknolojia ni Yetu sote said: M Mpwa ππ sinza utapeli sio poa ukoko 3000 Click to expand... Kule balaaa mpwa nakuogopa balaa
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 9,529 Reaction score 16,291 Jul 18, 2025 #102 Vincenzo Jr said: Hela ndogo sana hiyo mkuu Click to expand... Kwa chakula Cha mara moja kwa mtu mwenye majukumu na ana kipato Cha chini ni hela kubwa sana. Hongereni wote mnaosema 24k ni ndogo. Kumbuka kuna watu mshahara wao ni 30k.
Vincenzo Jr said: Hela ndogo sana hiyo mkuu Click to expand... Kwa chakula Cha mara moja kwa mtu mwenye majukumu na ana kipato Cha chini ni hela kubwa sana. Hongereni wote mnaosema 24k ni ndogo. Kumbuka kuna watu mshahara wao ni 30k.
AlphaMale_ JF-Expert Member Joined Aug 12, 2023 Posts 246 Reaction score 552 Jul 19, 2025 #103 Kwan mpaka uulize ukiangalia mandhari tu unajiongeza ,watu hawapigwi mbona sehemu cheap zipo mkuu. ChoiceVariable said: Hata Dom hapa mjini kati Wana huo ujinga Click to expand...
Kwan mpaka uulize ukiangalia mandhari tu unajiongeza ,watu hawapigwi mbona sehemu cheap zipo mkuu. ChoiceVariable said: Hata Dom hapa mjini kati Wana huo ujinga Click to expand...