xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
-
- #261
Nendeni JKT wazembe hii ni kutokana na mwaka huu mmefeli sana
classmate hadi mim niende kweli!!?
Hahaha hapana wewe huendi wataenda kina chats55,xir xphery ,dan p
Hahaha hapana wewe huendi wataenda kina chats55,xir xphery ,dan p
mmh! vivian ndo nani tena?
Wewe mpigamsuli....
nitake radhi kabisa...
AG. 4464
S/M xir jyerphy
824 KJ Kanembwa
Kombania B
Platun 2
Section 2
OP 50 yrs of jkt
March intake
mpigamsuli eti Eshy m.s ni classment wako wa #woso
samahani mpigamsuli
kakudanganya
#nyambaffffff ....!
aka katoto aka ka Eshy m.s..
bora kaende jeshini...!
Na uzee wangu wote huu bado kananidanganya...!!
dada Eshy shemeji yako huyoo nimetoka naye mbali sana nimesoma naye