xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
-
- #301
Ni kweli kabisa mkuuu wakifika chuo vitu kama ugali,mihogo ,michembe wanajidai hawali
Wee mpigamsuli...
usijifanye mgumu/silid...
kwani we si ndo wale wale wa kyepe, yai, shikaki, sausage na reds baridiii...
Mimi mkuu ugali ndio chakula changu tangu nipo uboysini mimi starehe yangu chuo ni CLUB hapa kiukweli huniambii kitu mimi napenda kula bata la CLUB na masela dah
Kwani klabu kuna kupiga MSULI....??
Nilitegemea starehe yako iwe library, ebook nk nk
Kwani klabu kuna kupiga MSULI....??
Nilitegemea starehe yako iwe library, ebook nk nk
Hivi early in those years wakati upo uboyzini, ulikua haumvushi huyu Eshy....lol
hahaaaa! siunajua ulimbukeni tena, we kamtu ivi unaexist kumbe? nimekutafuta kila kona cjakupata ulienda wap?
c unajua hang over ya ban inanzngua bdo!stim ndo znarud mdomdo!ulntaftia wap weye?
heheee! umenikumbusha kuvusha wangu! kumbe nawe unajua?
Napita tu
mi siitwi vivi wewe! muulize my classmate anajua jina langu..
Uboyzini ndo misele yng yota ilikua inaishia pale, natoroka maskuli nakuja kwenye machemba ya COI