xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
- Thread starter
- #301
Ni kweli kabisa mkuuu wakifika chuo vitu kama ugali,mihogo ,michembe wanajidai hawali
Wee mpigamsuli...
usijifanye mgumu/silid...
kwani we si ndo wale wale wa kyepe, yai, shikaki, sausage na reds baridiii...
Last edited by a moderator: