Usilo lijua kuhusu kutokwenda na muda kwa Waafrika

Usilo lijua kuhusu kutokwenda na muda kwa Waafrika

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
592
Reaction score
595
Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006.

Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu sikuwahi kukutwa kwenye jopo la waliokosa namba za saa Kumi na mbili na nusu.
Nilipofika elimu ya juu ya sekondari sikuwa na budi kuwa na bidii ile ile japo kiburi cha kuwa nilikuwa mzuri katika masomo kilinipanda kichwani.

Pia nilianza kutafiti kwa muda wangu wa ziada kwanini watu weusi hawawezi kwenda na muda .


💥 SABABU
1..Ni mawazo mafinyu ambayo yalijengeka kwa kipindi cha utawala wa kikoloni .kwamba kila sehemu mtu wa kwanza kufika alitakiwa awe kiongozi wao.mfano Waganga au mababu wakiwa wanaenda tambikoni huanza wao kwenda na kisha raia hufuata nyuma .

2. Baada ya elimu kuwasili katika jamii mbali mbali za kiafrika tulianza kuelimika japokuwa hatukiacha asili .Ndipo wenye elimu wakaona ni jambo la busara sana kama waonavyo weupe kwamba tutumie muda .
Mtazamo wao haukuweza kuzaa matunda ila ikapelekea kutambua kuwa watu waliogopa sana kufika kabla ya Kiongozi wao.🧺


Hatima ya uwoga wa watu.

Watu walikuwa wanafika sehemu ya tukio baada ya kudikia mkubwa kafika.

Wasomi wakaona si vyema , wakapanga kuwa na uwongo wa kupanga kuwasili lisaa limoja kabla ya muda pangwa wa mkutano.


Kutokana na ile hari ilo zoeleka ya kuacha kiongozi afike ilozoeleka kwa wengi .tunajikuta huo muda ulioongezwa nao tunachelewa ili kupisha viongozi kufika pasina kuona ni makosa .

Hati maye hili ndo jambo linawatesa waafrika kwamba anahitaji kuoangiwa extra time .


...............itaendelea
 
Back
Top Bottom