Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

story yako kama haina chawa si story hii
 
Mtoa mada,
Sahii na wewe ukituacha solemba kama zile maandazi zingine niamini Mimi, tunafanya maombi ya kufunga kwa ajili yako.!!
Hamuwezi kutuacha kila siku na utamu wakati ndiyo tunakaribia kileleni..!!
Sawa mamaa usijali. Nitakufikisha kibo na Mawenzi kadri ya matakwa yako na uta enjoy sana[emoji23][emoji23]
 
Mzee kwani hapa kaweka details zote? Kuna vitu kibao kaviacha nina uhakika

Mimi mwenyewe nina kumbukumbu za miaka nikiwa nasoma primary baadhi ya matukio kwa details kubwa tu sembuse chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…