Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Jela, kel,jela, daaah pole Sana ninamiezi 9 toka nitoke huko, nilikaa miezi 8 huko nikiwa mahabusu. Ogopa Jela kwenye Biblia wanasema dini iliyosafi ni kutembelea wafungwa. Hakika wafungwa wote siyo wabaya na siyo wote wametenda uhalifu. Pole sana.
 
Nasikia uko jela mnalala mchongoma,vipi uko jela mahali ulipokuwaga
 
Kweli bongo nyoso hadi gerezani tunaoneana wivu na chuki
Gereza ni Kama Kijiji fulani hivi chenye Sheria Kali. Mle Kuna matajiri wanyonge kila kitu. Wachawi ,waganga . Pia wambeya waongo bila kusahau humo kunavibaka pia. Walawiti wapo. Mkuu huko kunawafanyabiashara wa nyanya, dagaa, kalanga mboga za majani etc. Mkuu hicho ni Kijiji kamili kabisa
 
Yaaah
 
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
 
Dah!!! We jamaa wewe. Mbona unatisha hivyo, kila sehemu mtego sasa huda ya jela nini tena
 
Unajua wakati mwingine ili hata stori inoge wakosoaji kama sisi ndo tuna fanya uzi uwe na ladha ...si kwa ubaya lakini eb fikiria watu wote humu tuseme stori ni nzuri ni kitu ambacho hakiwezekani watu kama sisi tuna nafasi yetu pia tuheshimiwe ....... natamani nikujibu hoja yako ya kumsahihisha mtoa uzi sema mimi ni mvivu kuandika ....inshort challenge ni sehemu ya stori [emoji1666][emoji1666]
 
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
Hii inawezekana ikawa ndio chanzo cha matatizo.

Kumbuka yule Mganga aliwapa dawa Room mate wote na kuna maneno aliyanuia ndio hayo yamesababisha hekaheka hizi. Ili awe salama inabidi arudi kule kwa yule Mganga akakiri kosa lake kisha akamuondolee hii laana inayomuandama.

Jamaa anaweza kuwa mtu wa mateso maisha yake yote.
 
Tumia akili Nakufuatilia kwa ukaribu, huku nikijifunza mengi sana kutoka kwa Puguboy mwenzangu, japo nyie mlikua nyuma yetu kiasi. Huyo ticha aliyewapita nduki sio Mabagara kweli mzee wa kufurumusha watu?
 
nina mwanangu wa DIT anauza kahawa na kashata tanga mjini
 
Aisee mkuu duh sio pouwa
 
Hyo namba 7 ni changamoto. Mana kuna majiran ukijuana juana nao ndo mwanzo wa kufatiliana maisha utaskia oooh unafanya kaz gan, kwenu wapi, unamiliki nn yaan full kuchorana. Mm izo mambo hua spendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…