Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge moja la storiSEHEMU YA PILI
Ilipoishia,
Basi nikazama ndani kwenye lile gari, lakini wakati napanda kuna mama alikuwa mbele yangu nikamvuta nikazama ndani, kumbe ni mke wa dereva wa lile gari,,,,,,,,,,
Endelea,
Basi yule Mama akapiga kelele, mme wangu wanatuvuta tusiingie, yule dereva akasema, asa we ulitaka wapande nini, ebu panda huko twenende, basi kimoyo nikajisemea yes dereva si ndo huyu, basi chuma ikawaka, tukaendaaa weee, hapo sasa ndo nikaanza kuskia maumivu ya mguu na vidole, nlikuwa sjayaskia, kujishishika naona majimaji nikajua hii damu, banaee tutajua kesho maadam nimepata usafiri haina noma, nikiwa kwenye lindi la mawazo ya kilichotokea, nawaza bwenini nimetoka hata tranka langu la maji sjafunga, maana pale shule kitu cha thamani kuliko vyote ni maji, basi bana nikiwa kwenye mawazo mazito mara naskia mtu ananigusa, oya umepona, kucheki ni mshkaji wangu Abdul Kisoda tunaishi nae mapinduzi 3, daah sikuamini nkamwita Kisoda ni wewe, daah we umefikaje huku akaniambia yeye alipata lori la mchanga likamleta paka kisarawe, sa nikamuuliza kwani ni nini kimetokea akasema yeye pia hajui, basi tukaendelea ila angalau sasa nna amani kidogo baada ya kumwona abdul kisoda
Basi tukafika sehemu tukakuta migambo wakasimamisha gari, wakamfata dereva wakamwambia huku mnakoenda ni mbali sana, hapa yenyewe mlipo ni mbali sana, ni bora muishie hapa, basii dereva akapaki pembeni tukashuka tukakuta watu wengine wengi pale, tukajisogeza pembeni kulikuwa na gari dogo imefungua milango yote alafu imewasha redio kwa sauti kubwa, basi pale ndo tukasikia habari kwamba mabomu yaliyokuwa yamehifadhiwa kambi ya jeshi gongo la mboto yamelipuka, watu wamekimbia kila mahali, juhudi zinafanyika kuyazima,
Daah basi tukakaa pale angalau sasa tunajua nini kimetokea, cha kushangaza tukajikuta wana bweni kama wanne hivi tumekutana pamoja, Na mshikaji wangu Hassan yeye ana mtoto mdogo kama miaka mitatu hivi wakike, tukamuuliza vipi tena na mtoto akasema kuna dada walikuwa wanakimbia nae sasa mtoto akamlemea ndo akamsaidia, Ila kamwachia namba za simu atamplelekea, daah nikaona mshikaji ana roho nzuri kweli, mi nimemkacha mlemavu kule shule, nafsi ilinisuta sana ila nikajipa moyo imeandikwa kila mtu na aiponye nafsi yake
Basi tukajikusanya wanafunzi wa Pugu tukachanganyika na wa Minaki tukawasha moto mkubwa, tukachuma majani tukalala, Basi kukapambazuka tukaanza safari ya kurudi shuleni, Sasa kumekuwa kweupe nikijiangalia sina tofauti chizi, suruali imepasuka, sina ndala, madamu yamegandiana kwenye miguu na vidole nikasema daah akili sina mimi nna tofauti gani na kichaa
Basi ile barabara ina hawa jamaa wanabeba magunia ya mkaa kwenye baskeli, nikamwona mmoja anapatashida kukokota kupandisha kilima nikaenda kumsaidia nikawa namsukuma hapo nyuma, kidogo ikanipunguzia aibu kwani nikawa kama na mimi ni mbeba mkaa sababu tunafanana ikapunguza hata watu kunishangaa, basi nikamsukuma yule jamaa paka tukatokea kisarawe, daah ni umbali mrefu sana, basi pale kisarawe tukakuta daladala za kwenda goms zipo, Hassan alikuwa na hela kidogo basi akatulipia wote tukapanda ( kumbuka nauli ni mia kwa wanafunzi)
Basi tukaondoka huko njiani tunakutana na mabomu ambayo hayakulipuka, ebwana ni makubwa, bomu kubwa hata mtu hubebi, pia tukapiita baadhi ya nyumba zina misiba, watu wao wamekufa na mabomu, Basi bana tukafika shule tukaanza kupeana story jinsi kila mmoja alivyookoka, Maji yangu kwenye tranka kama kawaiida nikakuta hola nikasema poa nikashuka pondi nikaoga freshi nikabadili nguo, Hasan akampigia yule dada mwenye mtoto akamwambia anakaa goms basi akaenda huko
Basi bana mitihani ikaisha shule ikaisha nikarudi zangu home kupigisha madogo mapindi, tena ukizingatia nimemaliza form six basi bonge la heshima pale kijijini
Siku zikaenda matokeo yakatoka sikufanya vibaya, nikachaguliwa kujiunga na degree yangu ya kwanza pale UDSM kitivo cha engineering, pale kijijini ilikuwa balaa walivyosikia naenda kusomea uinjinia, basi yaani hata ningesema nleteeni mabikira wote nichague wa kumuoa basi wazazi wangeleta mabinti zao ili wajaribu bahati zao, yaani nlikuwa kama mfalme pale kijijini
Basi mda ukafika, nikatimba Udsm Coet pale, Nlikuwa nmepewa hela kidogo hom nikafanya registration pale, uzuri nilishukia kwa jamaangu ambaye tulikutana pugu yeye alikuwa udsm , walikuja pugu kwenye semina ya kidini, basi akawa jamaangu ananipa ushauri mbalimbali , hata kabla sjamaliza pugu nilikuwa naenda udsm kumsalimia alikuwa anakaa hall 5, basi akawa ananipitisha maeneo ya chuo ili kunitia tamaa, na kweli nlikuwa nikirudi shule huo msuli ntakaopiga si wa dunia hii
Basi bana kwaiyo kabla sjapangiwa room pale chuo nikawa nakaa kwa jamaangu huyu Ambaye anaitwa Frank, kipindi hicho yeye na jamaa zake kadhaa walikuwa wamepanga mtaani maana walikuwa mwaka wa tatu, Basi nikawa naona jamaa wanapiga msulii balaa nikauliza mbona mnapiga msuli halafu hamuendi chuo, wakasema wanajiandaa na Sap, saa hiyo sijui hata sap ni nn, Basi naskia tu huyu ana Sap sita, mwingine nne, Jamaangu yeye alikuwa na sap tano, sasa nikajiuliza huyu jamaa mbona alikuwa vizuri hizi sap (maana waliniambia sap maana yake umefeli mtihani unatakiwa urudie) zote amepataje, maana hapo mwanzo aliwahi kunionesha vyeti vyake jamaa alipasua balaa, form four ana one ya saba, form six ana one ya nne tena PCM, sasa saivi nikiangalia hata past paper zake za chuo nakata tamaa kabisa, unakuta ana tatu ya kumi, 20 ya 60 nikasema khaaa shule ndo hivi
Basi bana chuo wakatupangia rooms, mimi nikapangiwa hall two, floor ya 11 side room, tunakaa nane room moja, basi sasa kimbembe kikaanza tukaitwa tukapewe boom, maana hatuna account hivyo tunapewa mkononi kule kwenye ofisi za auxiliary police, basi tukapanga foleen nikafika dirishani Kwa madam mmoja jina lake Rhoda, akanihesabia kibunda nikasepa, sasa hizi hela zote naweka wapi na ndo mara ya kwanza kushika hela nyingi hivyo kwa mkupuo (kama laki sita hivi)
Basi kwa vile jamaa ngu frank yeye Ana account na ndo mtu nnae mwamini na ni mtumishi mzuri basi nikamkabizi kibunda aniwekee kwenye account yake paka ntakapopata account, Kweli umdhaniaye siye kumbe ndiye na ndo hapo kichapo kilipoanzia, na ndo msingi wa stori yangu unapoanzia
Itaendelea
😂😂 Si bora hata ningebaki na chupiWewe ndo ulijisaula ukabaki na chupi..😂
Ilikuwaje sasa😂😂 Si bora hata ningebaki na chupi
Soma vizuri usikurupuke, kasema mwishoni mwa miaka ya 80 , ina maana kuanzia 87, 88, hadi 89Inaonekana ulisoma memkwa au ulichelewa kuanza shule umezaliwa miaka ya 80 ila shule umesoma kipindi cha mabomu.
Tuendelee mkuu, itafahamika mbele
Basi bana, siku ya siku nikatimba shule ya baba wa taifa, Askwambie mtu nilikutana na life la kibabe sjawahi kuona
Picha linaanza shule haina maji, Maji utajua pa kuyapata, kama utaenda mtaani kununua utajua mwenyewe, Ukitaka uzame pondi ( Huko bondeni kuna visima wanatumia wanakijiji ila maji yake yana magadi na fangasi wa kutosha)
Mimi nilikimbia kutoka viwege kwa muda mrefu sana. Nilipofika sehemu niliyokuta watu nilimuona dada mmoja anakaanga samaki nikamuuliza dada hapa ni wapi? Akanijibu hapa ni kilwa masoko nikazimia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba na mama wote ni wakulima wadogo wadogo tu, kwetu tulizaliwa wawili tu mimi na mdogo wangu wa kiume.
Basi baada ya kumaliza shule ya msingi nilichaguliwa kujiunga na shule ya skondari Chabutwa iliyopo pale katani. Kwa vile nilikuwa John kisomo basi maisha ya shule hayakuwa mabaya ki ufaulu, Paka namaliza form four nilikuwa naongoza pale shuleni, Baba yangu alipenda kunihusia kuwa nisipende kujionesha kwa watu kuwa nina akili maana si wote wanapenda kuona watoto wao hawafanyi vizuri alafu watoto wa wengine wanafanya vizuri
Basi nilijitahidi sana kufata ushauri wa mzee ingawa kama unavyojua haya mambo hayafichiki, Kata nzima ilikuwa inanifahamu, kwenye vikao vya shule ndo usiseme maana niligeuzwa sample space (Sehemu ya wengine kujifunzia).
Basi nikamaliza four pale na Mungu si Athumani nikafaulu vizuri na kuchaguliwa kujiunga na shule ya Pugu Secondary kwa ajili ya five na six. Mzee wangu alifurahi sana si kwa sababu ya kufaulu tu bali nilichaguliwa shule ya mbali na pale nyumbani maana mzee alikuwa hana amani kabisa na majirani wa pale katani
Basi bana, siku ya siku nikatimba shule ya baba wa taifa, Askwambie mtu nilikutana na life la kibabe sjawahi kuona
Picha linaanza shule haina maji, Maji utajua pa kuyapata, kama utaenda mtaani kununua utajua mwenyewe, Ukitaka uzame pondi ( Huko bondeni kuna visima wanatumia wanakijiji ila maji yake yana magadi na fangasi wa kutosha)
Kufupisha story sitaelezea sana life la Pugu, ila kiukweli lilikuwa la kiume, Miongoni mwa vitu sitavisahau ni bweni letu la Mapinduzi 3 ambalo ndo lilikuwa linaaminika bweni la watu wakorofi shule nzima, pia nikiwa bado mgeni nilikaribishwa kwa kupigwa nguo zangu zote nikabaki na nliizokuwa nimevaa tu, yaani siku hiyo nimetoka pondi nimefua nguo zangu nikaanika kwenye ukoka, nikaondoka kwenda kutembea majohe, kurudi jioni nakuta ukoka unanikodolea tu hakuna nguo yaani Hadi boxer walichukua wahuni wale.
Kingine sitasahau ni tukiwa karibu kumaliza six, tumebakiza paper ya practical ya chemistry, siku hiyo ilikuwa jioni ki giza ndo kinaingia, nimetoka kupiga zangu nguna maharage, najisogeza taratibu naelekea kwenye kipindi cha dini, Mara ghafla naona watu wanakuja wengi wanakimbilia eneo la shule, Wa baba, wa mama wengine wana watoto, nikajiuliza kimoyomoyo haya maandamano ya nini tena, nikiwa bado nashangaa ghafla nikaona kitu hicho ndo kilifanya nione hii issue ni serious, nikamwona teacher wetu wa darasa nae anakuja mbio, tena mbaya zaidi ana kitambi sasa akikimbia balaa, na alikuwa na spidi maana ilikuwa kawaida yake kila asubuhi anatukimbiza ambao hatuendi assemble.
Duuh, nlipoona hivyo na mimi nikaliunga tukaanza kukimbia, kuna sehemu wanafunzi wanapenda kuangalia tv nikakuta nao wamesepa wameacha tv pale, Daaah sasa wote tunakimbia halafu hatujui tunakimbia nini, Sasa wakati naendelea kukimbia nikakutana na mlemavu mmoja yupo kwenye kiti chake cha matairi ( Maana ile shule ina wanafunzi walemavu pia),. Sasa hana mtu wa kumsukuma na kile kiti chake, kila mtu anaokoa nafsi yake, basi huruma ikaniiingia nikaanza kunsukuma huku tunakimbia, ebwanaeeh tumekimbia mwisho nikaona hapa nafeli, maana watu wanazidi kukimbia kuelekea bondeni huko alafu kelele zimekuwa nyingi, nikaona usintanie nikamwacha yule mlemavu nikaanza kukimbia mwenyewe.
Nikakimbia hatimae nikafika pondi, pale kidogo nikakuta watu wamerundikana kidogo,wanaulizana ni nini ila hakuna anaejua, ila juu angani anga limegeuka rangi, limekuwa jekunduuu kama vile jua lataka kushuka, alafu kelele kama vile watu wanapiga mabati huko angani au kama vile msitu unaungua sasa zile kelele za miti, daah hapo nikajua ndo mwisho wa dunia huu, wakati nageuka huku na kule mara namwona yule mlemavu ila saivi hayupo kwenye kiti bali anatambaa chini, nikajiuliza huyu kakimbia au kabebwa? Nikabaki nimestaajabu ila nikajichanganya asije kuniona akasema huyu broo ana roho mbaya, maana jinsi anga lilivyo jekundu yaani Hadi watu mna onana kabisa
Basi bana kelele zikazidi, watu woga ukaongezeka basi mbio zikaanza , tukapanda juu tukatokea Barbara kubwa ya pugu kajiungeni, Barabara imejaa watu wanakimbia, magari ndo usiseme, basi tukawa tunakimbia kelele zikizidi ukitazama juu unaona kama kimondo cha moto kinakuja hivyo unalala chini, kikipita unaamka tena unaaza mbio, Basi tukafika njia panda ya kisarawe na chanika, tukala kulia kuelekea kisarawe, mbio mbio unafika mahali unakutana na mdada anakimbia kanga inaanguka anabaki na chupi lakini hana muda wa kuokota kanga,ni kukimbia tu, mi pia sikuwa hata na hamu ya kutazama hayo mambo, maana unakimbia ukilala chini unasali ili likimondo lipite, basi ni kukimbia na kusali tu
Basi mara tukafika shule ya secondary Minaki , kulikuwa na wanafunzi pale nao wakaungana na sisi kukimbia, tukakimbia mara tukatoboa kisarawe,hapo ni usiku hata siijui saa ngapi, Basi pale kisarawe tukakuta watu wengi kinyama, yaanii pale ndo ikawa kama makutanio, watu wanaulizana ni nini,lakani hakuna anaejua dhahiri ni kitu gani kimetokea, Basi wakati tunashangaa pale mara ule mwanga na yale makelele yakawa takekaribia tena, watu wakaanza kuondoka kuendelea mbele,
Daah kwa jinsi nlivyokimbia na miguu ilivyokuwa inauma nikasema mi skimbii tena, kama kufa nife tu, basi nikaona cruzer moja imejaza watu nyuma inaondoka, nikaikimbilia nikaidaka, nikadandia yenyewe ikachanganya, sasa wakati natafuta sehemu ya kuweka mguu nikakosa, mikono ikachoka kubembea nikarudisha miguu kwenye lami, acha niburuzwe, nikaskia watu wanasema umeuaaaa, gari ikasepa nikaamka kujiangalia, nilikuwa nimevaa jinsi lakini ililiwa na lami paka ikakutwa Ngozi, nilichubuka vibaya, damu zinatoka balaa vidole vinatoa damu, ndala Sina maana zulikatika toka huko nikiwa nakimbia
Basi, mara nikaona cruiser moja imechorwa msalaba mwekundu, watu wanaikimbilia, na mimi nikazama, sasa wakati nazama kuna mama mmoja alikuwa mbele yangu, nikamvuta nyuma mi nikazama ndani, kumbe ni mke wa yule dereva anae endesha lile gari
Itaendelea
Km hujui ni vema ukae kimya ujifunze,lami ya kuishia pugu ilikua mwaka gani?Huyo ni mswahili.
Bado anatunga uongo wake.
Lami ilikuwa inaishia Pugu lakini anakwambia niliburuzwa katika lami nikiwa nimeshikilia gari.
Uongo mtupu
Itaendelea...ni aina ya ungese fulaniWabongo hamna subra sijui kwanini? Mmeshaanza kujifanya wajuaji
Mmmh ila acha niende tuNilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba na mama wote ni wakulima wadogo wadogo tu, kwetu tulizaliwa wawili tu mimi na mdogo wangu wa kiume.