Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

We unampenda shetani
 
kumbuka yupe bibi aliwambia yeye anajua kufunga tu kufungua hajui na akatoa siku tatu mwizi arudishe mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jela ulikuwa kwenye kundi lipi kati ya hao?

Nini kilikufanya uende jela?
 
ILE LAPTOP...
 
Mniombee....ipo siku nitaleta haki ndani ya nchi hii
 
Kibongobongo watu kuitiana mwizi huwa hawaoni tabu kabisa yani

Mtu akikuhisi anakuitia mwizi wakati anajua kabisa unaweza kuuawa.
Kama huyo manzi ndo aliechochea mpaka ukafikia hapo.
Na wanawake ndo wepesi sana kuitia mtu mwizi
 
sio kipindi cha jpm tu hata saivi bado graduates tuna hustle
 
Kwanza story ni ya uongo,miaka ya 80 Sikonge yote ilikuwa haina sekondari hata moja
 
Kwanza story ni ya uongo,miaka ya 80 Sikonge yote ilikuwa haina sekondari hata moja
Sikonge,Tutuo,Ipole,Chabutwa ,Mibono,Usunga one,kulikuwa hakuna Shule ya sekondari hata moja,hadi ilipofika 1995 ndiyo ikaanziahwa Ngulu sekondari.

Mtunzi ni wa mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…