Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

[emoji23][emoji23] Nachngwea kulikufanyaje mkuu Mana ni home kule mazngra ya kiutaftaji sion Kam ni mazuri san
 
[emoji23][emoji23] Nachngwea kulikufanyaje mkuu Mana ni home kule mazngra ya kiutaftaji sion Kam ni mazuri san
Kama nachingwea ndio kwenu duuuhh!! Hatari huku kimasikhara kama zote mademu wa huku hawajui kukataa kabisa,najilia tu mbususu karibia kila siku mbususu mpya
 
Kama nachingwea ndio kwenu duuuhh!! Hatari huku kimasikhara kama zote mademu wa huku hawajui kukataa kabisa,najilia tu mbususu karibia kila siku mbususu mpya
[emoji1787][emoji1787] mkuu we peleka moto tu mana maisha mafupi sana
 
Duhh hii ni movie au !? [emoji16][emoji16][emoji22]
 
Hahaaaa [emoji38][emoji38][emoji38]

Inachekesha sana yaani umempa Pesa mtu anaye pata sup akuhifadhie [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nilikimbia kutoka viwege kwa muda mrefu sana. Nilipofika sehemu niliyokuta watu nilimuona dada mmoja anakaanga samaki nikamuuliza dada hapa ni wapi? Akanijibu hapa ni kilwa masoko nikazimia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kmmk [emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120]
 
Chochote utakacho pima wee unaambiwa haina
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dah nilikuwaga najua unavyokuwa kuwa mkubwa maisha yanakubali tu yenyewe wewe maisha kumbe yapo serious sana wewe unacheka yenyewe ya mekununia.
Maisha yanapiga na kuumiza kuliko kitu chochote
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]

Nimelia it's hurts

Is this life worth for a living!!? [emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…