Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Katika hali ya kawaida unawezaje kukumbuka vitu vya miaka zaidi ya 5 au zaidi iliyopita kwa 'detail' hivyo? Naona kama ni ngumu sana....

Vyovyote vile hadithi ni nzuri iwe ya utunzi au ya kweli. Nahisi wewe ni mtunzi maana unaishia sehem zenye 'suspense' ili msomaji ifuatilie kiliendelea nini kwneye muendelezo.
Kitu ambacho umekifanya binafsi mara nyingi huwa ni ngumu sana kukisahau labda uwe una tatzo la akili tu
 
Life la Msewe noma sana. Pindi tunakaa pale students wanaishi kama mke na mme... machali wa Mechanical wao wanalundikana room moja... kuna kaboya fulani kalikua kanatoka Mhimbili kule kuja kutumia geto na mademu zake... nilikua sikapendi kinoma sema kalikuwa best friend wa roommate so ni kukaacha tu... siku moja kalileta dem kakamaliza kakaita mwingine daaah ile kuondoka room inanuka kama skunk!
 
SEHEMU YA NANE

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,,

Asubuhi wanakuja rafiki zake pale, ni wale nlikuwa nawaona pale wanajiuza, akawa anawatambulisha kuwa mi ni shemeji yao, basi sawa, nikakaa paka mchana tukala ugali fresh, Nikaondoka zangu kurudi chuo

Endelea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Nikafika chuo nikalala sana siku hiyo maana hatukuwa na pindi, Nilipo kuja kushtuka nikaanza kutafakari yote yaliyotokea jana, Nikajilaumu sana maana hii yote ni sababu ya kuanza mapenzi ukubwani,

Basi ikawa ndo tabia yangu, usiku ukifika natinga kofia yangu najiachia buguruni, Nafanya yangu huko narudi room night kali nalala, Siku moja nikiwa na Jane kwenye vile vyumba vya short time mara mlango ukagongwa kwa nguvu, " Tokeni huko nyie washenzi" , Jane akaniambia hao ni polisi, Nikasema mbona hiki kisanga tena, sasa itakuwaje, itakuwaje sasa? Akasema kwa nyie hawana shida, kwa sisi ndo shida,

Basi mlango ukaendelea kugongwa, Jane akaenda kufungua, jamaa wakaingia wakatukamata na matusi kibao, tukatoka nje, kuna wengine nao wamekamatwa, Basi sisi wanaume tulikuwa kama sita, tukafungwa mashati wawili wawili, tukaswagwa na wale mademu paka kwenye gari ya polisi,

Tukazama ndani, tume kaa chini gari ikaamsha, Nikamuuliza Jane hapa tunaenda wapi? Akasema kituoni,
Basi tukazungushwa pale buguruni, mwisho tukapelekwa kituoni buguruni rozana , tukaambiwa vua mikanda,vua viatu, toa kila kitu weka mezani, tukafanya hivyo,

Haya kaa chini, tukaandikishwa majina pale, tuka kaa tunaskilizia, wale maaskari tuliokuja nao na gari wakawa wameondoka na gari, wakabaki wale tuliokuwa tumewakuta pale kituoni,

Baada kama lisaa tukiwa tumekaa pale nawaza sijui itakuwaje taarifa zilifika chuo, nikiwa bado nawaza, ndipo askari mmoja akasema oyaa, nyie semeni mna nini muondoke hapa, mkikaa hapa paka kesho tunawapeleka mahakamani, nikasema ukisikia kirangasi ndo hichi sasa,

Basi jamaa mmoja akasema mi nna elf 10 afande, Nikasikia we mwana haramu nini!! Yaan hao malaya uwape elf 10 na sisi utupe elf 10! Hanisi wewe, eeenh na nyie wengine, Mi nikasema nna elf 10 pia, Yule afande akasema nyie mna leta utani, ebu sogeeni hapa,

Basi tukaenda pale mezani, Akasema toeni hizo hela, Basi mi nikaomba walet yangu ilikuwa pale mezani, nikatoa buku ten, nikachukua vitu vyangu nikasepa, na wale wengine nao wakatoka tukawaacha wale mademu kule maana walikuwa chumba kingine, Basi nikatoka pale nikadandia gari nirudi zangu chuo, moyoni najiapiza sirudii tena yaan leo ndo mwisho, nikarudi room nikalala,

Ikapita kama wiki hivi sjatia maguu tena buguruni, Ila badae uzalendo ukanishinda, nikaona usintanie nikajiachia huyooo kama kawa, Nikakutana na Jane nikamuuliza siku ile ilikuwaje, akasema walilala paka asubuhi pale kituoni, kesho yake wakadeki mule ndani na kufagia nje alafu wakaachiwa,

Basi ikawa ndo tabia yangu, siku nyingine simtafuti Jane nabadilisha ladha, Nikaotea chimbo lingine mwanzoni huku kabla hujafika sheli kunasehemu wanauza mbao, basi pale ni chap kwa haraka, nyuma ya zile mbao tu mmna malizana unampa buku tatu yake unasepa,

Basi siku moja nipo room Happy akanipigia akaanza kuongea analia, analalamika siku hizi nimemtupa hata simpigii, Nikajitetea pale kwamba shule imekaba ndo maana, Alafu akaniambia kwamba ana miezi kadhaa haoni siku zake, Ukisha ambiwa hivyo unajua tu ni nini kinafata,

Basi akasema anahisi ana mimba maana dalili zote zimeshajionesha hadi home wameshamtilia mashaka, Basi nikampooza pale kuwa ntamtumia hela aende hospital akapime, Basi tukaongea mengi, nikaahidi bado nna mpenda na hata kama ana mimba mimi kwangu ni furaha kuitwa baba,

Basi siku zikaenda, test zikaja, UE hii hapa, tukapiga pale shule ikaisha watu wakasepa zao kwenye mafield huko, Mimi field yangu nikafanyia hapa hapa Dar, Happy nikamtumia hela akaenda kupimwa akakutwa na mimba ya miez mi nne, Kidume ukiskia mziki ndo huo, Basi home kwao walipogundua dingi yake akamfukuza aende kwa mwanaume alie mpa mimba, Basi akaenda kuishi kwa Anti yake kijiji cha jirani,

Itaendelea
Hayo matusi ya polisi haa ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Life la Msewe noma sana. Pindi tunakaa pale students wanaishi kama mke na mme... machali wa Mechanical wao wanalundikana room moja... kuna kaboya fulani kalikua kanatoka Mhimbili kule kuja kutumia geto na mademu zake... nilikua sikapendi kinoma sema kalikuwa best friend wa roommate so ni kukaacha tu... siku moja kalileta dem kakamaliza kakaita mwingine daaah ile kuondoka room inanuka kama skunk!
Skunk[emoji16][emoji16]
 
SEHEMU YA TANO

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,

Nikabaki na pc mkononi huku natetemeka, nahisi haja kubwa na ndogo zinakuja kwa mpigo, jamaa wamesha karibia mlango

(Kabla ya kuendelea niweke sawa kitu hapa, ni kuwa kabla hatujafunga chuo tulienda kuongea na waden, tulikuwa kama wa nne hivi wanaroom, tukaongea na wadeni ili tukirudi mwaka wa pili tuendelee kukaa room yetu pale pale, basi wadeni akasema atatupa vitanda viwili yaan double kwaiyo kila kitanda anataka laki mbili, basi tukakubaliana pale jamaa watoe alafu boom likija toka tunarudishiana, kwaiyo room yetu mwaka uliofuata ilibaki ileile ila wakachanganywa badae madogo wa first year)

Endelea,,,,,,,,,,,,

Nikiwa bado nimesimama nawaza cha kufanya wazo likanijia, nikapita mlango wa kibarazani ( baadhi ya room kwenye yale mahall zina vibaraza), nikatokea kibarazani, wazo jingine likanijia, nikashika zile kingo za kibaraza nikabembea nikarukia kibaraza cha room nyingine, Yaani hata sijui ule ujasiri nlitoa wapi maana inatisha sana, fikiri floor ya 11, ukiangalia chini unaona watu wadogo, mzeee wacha!!!!

Basi nikafungua mlango wa baraza wa ile room, Mungu saidia nikakuta hakuna mtu kwenye ile room, nikapanda juu ya meza nikaiweka ile pc juu ya kabati, nikashuka kucheki mlango upo wazi, nikatoka nje nikaona mlango wa room yetu maana ni majirani nikapiga hesabu, nikaona ngoja niingie room, nikafungua mlango nikaingia, nikakuta kumbe ni mshikaji mmoja kaja na demu wake kumuonesha room, basi nikawasalimia pale, nikamtaniatania shemu pale, Jamaa akaniuliza ndo umeingia nikamwambia ndio, huku najifanya napanga panga vitu vyangu basi nikawaaga pale nikamwacha jamaa na demu wake,kilichoendelea mi sijui

Basi nikashuka paka kariakoo ( kuna sehemu pale chini kunauzwa vitu panaitwa kariakoo) nikanunua juice na keki nikatafuta sehemu kwenye kivuli nikakaa nikala huku nawaza kwanza jamaa akigundua pc yake haipo itakuwaje, pili jinsi ya kwenda kuichukua kwenue ile room maana sina mazoea sana ya kuingia ile room

Basi niikamaliza pale nikatoka nikashuka Coet kwenda kucheki cheki ratiba ya vipindi na matangazo, nikapata wazo niende kutembea mabibo basi nikapiga zangu shatle pori ( kutembea kwa miguu) kuelekea mabibo yote ni kupoteza muda ili baadae nirudi room

Basi nikazuga zuga mabibo kule, jioni nikageuza zangu campas, kufika room nakuta jamaa wananisubiri kama kuku aliepigwa na jua sasa kashikwa na kiu balaa, Basi ile naingia tu nakumbana na swali toka kwa jamaa mmoja, Oya Akili sina umechukua PC yangu kwenye begi? Basi kwanza nikarilax alafu nikajibu kwa utani "imeshaenda hiyoo" , Jamaa akanisihi niache utani niwe serious, basi nikamwambia sjachkua kwa kweli, maana nlikuja mchana nikamkuta flani na demu wake basi nikasepa saivi ndo narudi

Basi nikamwona jamaa machozi yanamlenga, anatafuta PC hadi chini ya mto kana kwamba kaiweka huko, Basi bana gumzo likawa ndo hilo pc imeibiwa pc imeibiwa, tukakaa sana pale room tukijadili jinsi ya kuipata, jamaa akaahidi kama hataiona paka kesho asubuhi basi ataenda kwa mganga bagamoyo, kweli tukampa saport tena mi ndo nakazia nikijifanya nna machungu ya kuibiwa pc na mimi, basi tukatawanyika pale kwenda cafteriia kutafuta menyu

Kwenye saa tatu hivi nikaenda kwenye ile room niliyoweka PC, nikagonga nikaingia nikakuta kuna mshikaji kalala, nikajifanya namuulizia mshkaji flani hivi, jamaa akasema hajarudi kula bado, basi nikasema ngoja nimsubiri huku najifanya nasikiliza bongo fleva za zamanii zilzokuwa zinapiga kwenye pc pale mezani, jamaa akaendelea kulala tena kageukia ukutani sjui alikuwa kapiga mtungi, basi nikazuga pale nikapata chance nikapanda juu nikaivuta ile pc alafu nikarud nikakaa, nikatoa begi mgongoni nikaiweka alafu nikatulia

Basi nikamuaga jamaa nikamwambia ntarudi badae, basi nikatoka nikaenda kushukia ngazi za mwisho kabisa wa jengo ili kupunguza chance ya kukutana na wanaroom

Basi nikashuka chini nikakamata shortcut ya kwenda msewe, maana jamaangu kidosho alikuwa ameamua kupanga mtaanii, basi nikafika kwa kidosho pale nikakuta kapika ugali tukala, nikamwambia kesho kuna sehemu naenda sasa naacha begi langu pale ntalipitia nikienda, akasema poa
Nikarudi zangu chuo, tukalala kukakucha asubuhi PC haijapati kana, Kweli jamaa akajiandaa huyoo bagamoyo kwa bibi, mi nikajua ni biti tu ili kutia woga kumbe mshikaji kaenda kweli, Mida ya mchana akarudi akasema bibi kasema amesha mwona aliyechukua, ni wa humuhumu ndani kwaiyo kasema kesho wote tuende kwake, tukasema poa

Kesho kweli wote tukajiandaa haoo paka kwa bibi, tukafika tukakuta bibi ana mtu mwingine anamuhudumia hivyo tukaambiwa tusubirii nje kwenye jamvi, tukakaa pale wee, ila mimi moyoni Amani sina kabisa, sema najilazimisha tu nionekane nipo sawa, yaani ningepimwa presure pale nadhani ingekuwa juu karibu na kufa, mwisho tukaitwa tukaingiia, kwa vile chumba ni kidogo alafu tupo kama nane hivi basi tukajipanga chini kwa msitari,

Bibi kavaa kaniki yake, kajifunga na mavitambaa mekundu, kuna katoto ka kike ndo kinatafsiri yale Bibi anayosema maana sisi hatuelewii, Basi bibi akaanza na bonge la biti, alafu kila akiongea ananiangalia mimi machoni, basi macho yakigongana mi naangalia chini, basi daah yaan najiskia huku chini nimetota kabisa kwa hofu na woga, Bibi akaanza kuchoma ubani, mara akapandisha mashetani, akaanza kusema sasa, kwamba wazee wameshamwona alie chukua mali ya watu, lakini wazee wameona huruma wameamua kumpa huyo mtu nafasi, airudishe hiyo mali kwa mwenyewe, wazee wao wanajua kufunga tu,kufungua hawajuii kwaiyo asiije akalaumu mtu, wazee wametoa siku tatu hiyo Mali ipatikane ( yeye anaita mali sijui hawezi kusema laptop),

Basi bibi akamaliza kutoa maneno yake pale huku yakiitafsiriiwa na kale katoto, basi akachukua kibuyu chake ambacho mda wote kilikuwa kinafuka moshi, akaanza kumpitishia kila mtu, anamzungushia kichwani huku anasema maneno yake, alipo fika kwangu akanata kwanza, akatia pozi, watu wote kimya, mwili nikahisi kuparalize, nikasema enheee ukisikia kimbembe ndo leo, Basi nikajikaza mtoto wa kiume, bibi bado kapozi kwangu, watu wote wananikodolea mimi kuona ni nini kitatokea

Itaendelea
Aya ya kwanza sehemu ya tano imenikumbusha yule dogo aliyejirusha ghorofani wakasema aliiba pc ya mwenzake.
 
SEHEMU YA SABA

Ilipoishia,,,,,,,,,,,

Basi ikawa ndo mchezo wetu, yaani kwa zile wiki mbili nlizokaa homu niliibutua sana ile mbususu

Endelea,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Basi nikakaa pale nyumbani takribani wiki mbili, hatimae muda wa kurudi chuo ukafika, nikapaki kila kilicho changu nikadandia chuma huyoo kurudi dar, ila moyoni sjaridhika kabisa kumuacha mtoto Happy maana alikuwa ameshaniteka akili, Nikiwa kwenye gari namuwaza yeye hasa tulipokuwa tunafanya yetu, kwa vile nlichukua namba zake basi tukawa tunachati karibu safari nzima,

Tuliahidiana mengi, tukaahidiana kuoana, pia akasema atafanya mpango aje dar maana anti yake anakaa dar

Basi nikafika chuo, shule ikaanza kama kawa inaanza kama haitaki vile ila ngoja ichanganye ndo utaimba haleluya, Basi muda mwingi nikawa natumia kuchat na happy, sometimes hata nikiwa darasani, usiku ndo usiseme tulikuwa tunaongea paka masikio yana uma,

Nikawa kila nikikaa nawaza tu ile siku ya kwanza tulivyofanya, yaani niliona dunia imebadilika nikaingia ulimwengu mwingine kabisa, daah jamani raha sana

Sasa nikawa hata nikiwa nasoma mawazo hayo yananijia najikuta nimeacha kusoma naanza kuwaza hayo maujinga, Nikawa sasa kila nikimwona msichana mwili unabadilika, nahisi joto, mawazo yananijia najikuta namvua nguo kimawazo na kuanza kufanya nae kimawazo halafu napata raha eti,

Basi nikawa natabia naenda kukaa kwnye kimbweta ambacho kwa mbele kuna wadada waliovaa sketi fupi, alafu naanza kula chabo kiaina, najifanya nasoma kumbe nakula chabo, natengeneza mawazo ya kimapenzi tu kichwani

Hii hali ikanisumbua sana, nikajikuta natafuta video za ngono naanza kutazama basi zinanisisimua kichizi, mwisho nikapata solution, nikaanza kujichua, Yaani hizi tabia sikuwa nazo ila siku nilipokutana na happy ndo imeharibu kila kitu, Yaani mda mwingine natoroka darasani naenda chooni kujichua, ikawa balaa mzee,

Nikawa na video zangu za ngono kwenye Pc, basi natoroka naenda chooni, nafunga mlango nawasha pc, nachomeka ear fone, naangalia video za ngono alafu naanza kujichua,
Daah, basi ndo ikawa tabia yangu, kujichua kwa kwenda mbele, kwa siku naweza jichua mara tatu mara nne, Sometimes nakaa nawaza, happy umeniletea nini hiki, mbona ntajiharibu sasa, Nikiwaza nitafute demu ndo siwezi maana naanzaje, Happy mwenyewe nlimuotea sababu ni wa bushi, hawa wa chips mayai nawezaje,

Sasa siku nikakaa nikawaza sana, Hivi mimi Akili sina nnavyo jichua hivi, si badae ntakuwa hanisi, ntakuwa siwez tena kaz, sasa hata nikija kuwa na maisha mazuri alafu kazi hamna ndo itakuwa nini sasa,

Nikasema lazma niache hii tabia, ila ntaachaje sasa, Basi bana katika stori stori na majamaa wakagusia ishu za madada poa, wakataja maeneo sjui kimboka, sjui wapi, Nikasema sasa hapa ni bora nijichanganye huko kuliko kuendelea na hii tabia yangu

Nakumbuka siku hiyo nikajikoki naenda kimboka, ila nikawaza nikionekana huko si itakuwa story ya town, nikasema poa, Ikafika usiku kama saa tatu hivi, nikashuka ubungo nikanunua kofia, nikatinga kofia yangu nikadandia dala dala huyoo hadi buguruni, Nikakuta kumechangamka balaa kama sio usiku vile,

Basi nikatembea Hadi hapo sehemu, Ebwanaeeee asikwambie mtu, wadada kama wote, ni mapaja tu yana metameta, basi nikasimama zangu pembeni nikawa naangalia, yaani ni kujichagulia type unayotaka, wanene,wembamba, weusi, weupe, watoto, wamama yaan ni wewe tu na roho yako, paka albino wapo mzee

Basi nikatulia naona machizi wanajiokotea tu wanazama huko ndani ndani, nikajisemea kumbe ni kweli sodoma ipo, Basi nikaona dada mmoja kamkwida jamaa anataka hela yake, jamaa akampiga bonge la bao alafu akamwambia usinizoee, jamaa akasepa, basi huruma ikaniingia, nikamfata yule dada nikamuuliza ni nini kwani, akasema jamaa wameenda nae short time alafu kamdhulumu hela yake, nikamuuliza sh ngapi akasema buku tatu, basi nikatoa buku tano nikampa, alifurahi sana, akaniona nna roho nzuri balaa,

Basi akanipeleka kule ndani ya baa akanitafutia kiti nikakaa nikaagiza soda, akasema nikae pale nisiondoke anakuja, Basi akawa anaenda anakaa alafu anakuja, tunapiga stori kidogo alafu anaondoka tena, ikawa ndo hivyo, akaniambia nimsubiri akimaliza tuondoke wote tukalale, nikasema sawa, kimoyo moyo nasema Hivi akili sina ndo mimi nimekuwa hivi kweli??

Haya bana, ilipofika kama saa saba hivi usiku akaja akanichukua twende zetu, Basi tukatoka akaita bodaboda akatupeleka huko ndani ndani kumbe ndo kwake, Tukaingia ndani ana kiitanda kameza cha tv na vitu vidogo vidogo, Basi akawasha tv pale tukawa tunaangalia huku tunapiga stori stori,

Akaniambia yeye anaitwa Jane, akanipa historia yake pale, Basi tuliongea mengi
Sasa ikafika muda wa kulala, bana mtoto akaanza mambo, haya mambo nlikuwa nayaona kwenye zile video zangu tu sasa leo nakutana nayo live live mbona balaa, Mtoto alinilegeza balaa, kiufupi anajua Mambo, Basi mtoto akataka nitumbukize, sijui akili zilinijia wapi nikakumbuka kondom, akasema pale ndani hakuna kondom, nikasema bila kondom mi sifanyi, akanilazimisha bala, yaani ikawa mkuku mkuku pale ndani, ye anataka hivyo hivyo mi nataka kondom, basi kukuru kakara kama nusu saa nzima, mwisho akachoka, nikaona kainuka kafungua mlango akaondoka,

Nikabaki nawaza hivi mimi nafanya nini, nimekuja kuwaje paka nakuja kulala kwa makahaba, Mara mlango ukafunguliwa akaingia, mkononi kashikilia pakti za kondom, Nikasema hapo sawa, Basi nikala mzigo pale vizuuuuri, mtoto kajaa ufundi balaa, Basi tukalala paka asubuhi, Asubuhi wanakuja rafiki zake pale, ni wale nlikuwa nawaona pale wanajiuza, akawa anawatambulisha kuwa mi ni shemeji yao, basi sawa, nikakaa paka mchana tukala ugali fresh, Nikaondoka zangu kurudi chuo

Itaendelea
Buku 5 tu ukaolewa. Wanaume tunapitia mengi sana hasa domo zege
 
SEHEMU YA TANO

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,

Nikabaki na pc mkononi huku natetemeka, nahisi haja kubwa na ndogo zinakuja kwa mpigo, jamaa wamesha karibia mlango

(Kabla ya kuendelea niweke sawa kitu hapa, ni kuwa kabla hatujafunga chuo tulienda kuongea na waden, tulikuwa kama wa nne hivi wanaroom, tukaongea na wadeni ili tukirudi mwaka wa pili tuendelee kukaa room yetu pale pale, basi wadeni akasema atatupa vitanda viwili yaan double kwaiyo kila kitanda anataka laki mbili, basi tukakubaliana pale jamaa watoe alafu boom likija toka tunarudishiana, kwaiyo room yetu mwaka uliofuata ilibaki ileile ila wakachanganywa badae madogo wa first year)

Endelea,,,,,,,,,,,,

Nikiwa bado nimesimama nawaza cha kufanya wazo likanijia, nikapita mlango wa kibarazani ( baadhi ya room kwenye yale mahall zina vibaraza), nikatokea kibarazani, wazo jingine likanijia, nikashika zile kingo za kibaraza nikabembea nikarukia kibaraza cha room nyingine, Yaani hata sijui ule ujasiri nlitoa wapi maana inatisha sana, fikiri floor ya 11, ukiangalia chini unaona watu wadogo, mzeee wacha!!!!

Basi nikafungua mlango wa baraza wa ile room, Mungu saidia nikakuta hakuna mtu kwenye ile room, nikapanda juu ya meza nikaiweka ile pc juu ya kabati, nikashuka kucheki mlango upo wazi, nikatoka nje nikaona mlango wa room yetu maana ni majirani nikapiga hesabu, nikaona ngoja niingie room, nikafungua mlango nikaingia, nikakuta kumbe ni mshikaji mmoja kaja na demu wake kumuonesha room, basi nikawasalimia pale, nikamtaniatania shemu pale, Jamaa akaniuliza ndo umeingia nikamwambia ndio, huku najifanya napanga panga vitu vyangu basi nikawaaga pale nikamwacha jamaa na demu wake,kilichoendelea mi sijui

Basi nikashuka paka kariakoo ( kuna sehemu pale chini kunauzwa vitu panaitwa kariakoo) nikanunua juice na keki nikatafuta sehemu kwenye kivuli nikakaa nikala huku nawaza kwanza jamaa akigundua pc yake haipo itakuwaje, pili jinsi ya kwenda kuichukua kwenue ile room maana sina mazoea sana ya kuingia ile room

Basi niikamaliza pale nikatoka nikashuka Coet kwenda kucheki cheki ratiba ya vipindi na matangazo, nikapata wazo niende kutembea mabibo basi nikapiga zangu shatle pori ( kutembea kwa miguu) kuelekea mabibo yote ni kupoteza muda ili baadae nirudi room

Basi nikazuga zuga mabibo kule, jioni nikageuza zangu campas, kufika room nakuta jamaa wananisubiri kama kuku aliepigwa na jua sasa kashikwa na kiu balaa, Basi ile naingia tu nakumbana na swali toka kwa jamaa mmoja, Oya Akili sina umechukua PC yangu kwenye begi? Basi kwanza nikarilax alafu nikajibu kwa utani "imeshaenda hiyoo" , Jamaa akanisihi niache utani niwe serious, basi nikamwambia sjachkua kwa kweli, maana nlikuja mchana nikamkuta flani na demu wake basi nikasepa saivi ndo narudi

Basi nikamwona jamaa machozi yanamlenga, anatafuta PC hadi chini ya mto kana kwamba kaiweka huko, Basi bana gumzo likawa ndo hilo pc imeibiwa pc imeibiwa, tukakaa sana pale room tukijadili jinsi ya kuipata, jamaa akaahidi kama hataiona paka kesho asubuhi basi ataenda kwa mganga bagamoyo, kweli tukampa saport tena mi ndo nakazia nikijifanya nna machungu ya kuibiwa pc na mimi, basi tukatawanyika pale kwenda cafteriia kutafuta menyu

Kwenye saa tatu hivi nikaenda kwenye ile room niliyoweka PC, nikagonga nikaingia nikakuta kuna mshikaji kalala, nikajifanya namuulizia mshkaji flani hivi, jamaa akasema hajarudi kula bado, basi nikasema ngoja nimsubiri huku najifanya nasikiliza bongo fleva za zamanii zilzokuwa zinapiga kwenye pc pale mezani, jamaa akaendelea kulala tena kageukia ukutani sjui alikuwa kapiga mtungi, basi nikazuga pale nikapata chance nikapanda juu nikaivuta ile pc alafu nikarud nikakaa, nikatoa begi mgongoni nikaiweka alafu nikatulia

Basi nikamuaga jamaa nikamwambia ntarudi badae, basi nikatoka nikaenda kushukia ngazi za mwisho kabisa wa jengo ili kupunguza chance ya kukutana na wanaroom

Basi nikashuka chini nikakamata shortcut ya kwenda msewe, maana jamaangu kidosho alikuwa ameamua kupanga mtaanii, basi nikafika kwa kidosho pale nikakuta kapika ugali tukala, nikamwambia kesho kuna sehemu naenda sasa naacha begi langu pale ntalipitia nikienda, akasema poa
Nikarudi zangu chuo, tukalala kukakucha asubuhi PC haijapati kana, Kweli jamaa akajiandaa huyoo bagamoyo kwa bibi, mi nikajua ni biti tu ili kutia woga kumbe mshikaji kaenda kweli, Mida ya mchana akarudi akasema bibi kasema amesha mwona aliyechukua, ni wa humuhumu ndani kwaiyo kasema kesho wote tuende kwake, tukasema poa

Kesho kweli wote tukajiandaa haoo paka kwa bibi, tukafika tukakuta bibi ana mtu mwingine anamuhudumia hivyo tukaambiwa tusubirii nje kwenye jamvi, tukakaa pale wee, ila mimi moyoni Amani sina kabisa, sema najilazimisha tu nionekane nipo sawa, yaani ningepimwa presure pale nadhani ingekuwa juu karibu na kufa, mwisho tukaitwa tukaingiia, kwa vile chumba ni kidogo alafu tupo kama nane hivi basi tukajipanga chini kwa msitari,

Bibi kavaa kaniki yake, kajifunga na mavitambaa mekundu, kuna katoto ka kike ndo kinatafsiri yale Bibi anayosema maana sisi hatuelewii, Basi bibi akaanza na bonge la biti, alafu kila akiongea ananiangalia mimi machoni, basi macho yakigongana mi naangalia chini, basi daah yaan najiskia huku chini nimetota kabisa kwa hofu na woga, Bibi akaanza kuchoma ubani, mara akapandisha mashetani, akaanza kusema sasa, kwamba wazee wameshamwona alie chukua mali ya watu, lakini wazee wameona huruma wameamua kumpa huyo mtu nafasi, airudishe hiyo mali kwa mwenyewe, wazee wao wanajua kufunga tu,kufungua hawajuii kwaiyo asiije akalaumu mtu, wazee wametoa siku tatu hiyo Mali ipatikane ( yeye anaita mali sijui hawezi kusema laptop),

Basi bibi akamaliza kutoa maneno yake pale huku yakiitafsiriiwa na kale katoto, basi akachukua kibuyu chake ambacho mda wote kilikuwa kinafuka moshi, akaanza kumpitishia kila mtu, anamzungushia kichwani huku anasema maneno yake, alipo fika kwangu akanata kwanza, akatia pozi, watu wote kimya, mwili nikahisi kuparalize, nikasema enheee ukisikia kimbembe ndo leo, Basi nikajikaza mtoto wa kiume, bibi bado kapozi kwangu, watu wote wananikodolea mimi kuona ni nini kitatokea

Itaendelea
Story nzuri, ila hapo kwenye majina jaribu kuficha ID za watu wako kama ambavyo kwenye jina lako unaweka ili la JF.
 
SEHEMU YA KUMI

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,

Tukiwa tumekaa nje kwenye benchi tunapiga stori mara tukaitwa kule ndani, Basi nesi akatuambia majibu yenu tayari, ila kwa kuwa ninyi ni wapenzi na mna aminiana basi kila mmoja atasoma majibu ya mwenzake, tukasema sawa, basi mi nikapewa ya Sity na Sity akapewa yangu, Basi sity alipofungua majibu asome mara ghafla akashtuka kwa nguvu,

Endelea,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Moyo ukapasuka paaa!! Nikamuuliza Sity Vipi? Akatabasamu, Akasema, Nakutania bana, majibu yako mazuri, Yaani sema nilijizuia tu ila nilitaka nimkate bonge la bao, nikajisemea kimoyomoyo huyu analetaje utani kwenye mambo ya msingi, kwa kweli niliogopa sana tena ukizingatia zile mishe zangu za buguruni,

Basi nikacheki na majibu yake yapo poa, Yule nesi akatuhusia sana, kwamba tuwe waaminifu kila mmoja kwa mwenzake kama tunataka tuishi vizur, pia akasema yale majibu si ya mwisho, inabidi tukae miezi mitatu halafu turudi tena tupime hapo ndo tutakuwa na uhakika wa afya zetu,

Moyoni nikajisemea huyu nesi vipi, hajui kuwa hii mashine sjaiburuza bado, kwaiyo niisubirie tena miez mitatu, aaaah itakuwa ngumu aisee, Basi tukaitika pale sawa sawa, akatupa vipeperushi vyake tukaondoka, Tukasema tuelekee geto msewe poa,

Basi hakuna siku niliona msewe ni mbali kama siku ile, yaani tunatembea naona hatufiki, yaani natamani tufike nimrukie lakini daah ndo hivyo hatufiki aisee, Njiani huko masela wanamkodolea macho manzi balaa, maana huko nyuma kafungasha si kitoto, Wanaona nafaidi, kumbe mimi kama wao tu, wote tunakula kwa macho,

Kweli bana tukafika msewe, uzuri tukakuta kidosho hayupo, tulipofika tu ndani nikamtupia kitandani, nikaanza kula mambo yetu yale, mtoto akaonesha ushirikiano, tukagaragarazana kitandani, mara nikafanikiwa kumchojooa nguo zote akabaki na chupi, nayo nikaitoa, nikaanza kupima oil, mzee ni balaa najua wote mnajua yaliyoendelea, ila mtoto si kwamba kapewa tu mzigo ila anajua kuutumia, maana mzigo unazungukia pale kwenye kiuno ni hatari aisee

Basi nikafanikiwa kula tunda pale, tena nikajipimia tani yangu, tukamaliza mtoto akapika pale tukala, akaenda kuoga akavaa nikamsindikiza, hapo ndo ikawa mwanzo wa mapenzi mimi na Sity, mtoto alinikubali sana, kuna story nlikuwa naskiaga kwamba mabonge yanapenda kizembe kumbe kweli bana, Sity alinipenda balaa,

Basi shule ikaendelea, semista ikaisha, ikaanza nyingine nayo ikakata, Tukawa tumehitimisha safari ndefu ya miaka minne pale chuoni, Shule ndo imeisha hivyo,

Basi tukabaki mimi na kidosho pale geto, mziki ukaanza sasa kutafuta kazi, kwa vile matokeo ya mwisho bado, kwaiyo tukaenda chuo tukapewa transcript ya miaka mitatu ndo tukaanza nayo kutafuta kazi, Banaeeh hapo ndo nikaanza kujua kumbe kutafuta kazi ni kazi kuliko kazi yenyewe,

Tafuta kazi weee , ingia kwenye mitandao tafuta kazi wapi, paka matokeo yakatooka watu wakafanya graduation pale mlimani city , sisi hatukwenda maana hata hela ya joho hatukuwa nayo, Maisha yakaanza kuwa magumu maana tulizoea bumu, sasa hakuna cha bumu wala nini,

Basi tukaenda chuo kuchukua vyeti vyetu tukiamini vitasaidia kutafuta kazi ila wapi, Kipindi hicho ndo serikali ilikuwa imesitisha hajira, sijui mambo ya vyeti feki mi sijui mambo ya wana siasa,

Basi mwaka ukapinduka vidume mambo bado yamekaza, ilipofika mwez wa sita kidosho maji yakamfika shingoni, akasema yeye anarudi zake mkoani akacheki ishu nyingine, nikasema poa, mi sirudishi majeshi nyumbani, Ukizingatia kijijini dogo kashanipiga gap kubwa, yeye ana mji wake na familia mimi sina chochote zaidi ya laptop, na ntaenda kijijini kufanya nini, kama ni kulima si bora ningeanza kulima toka nilipo maliza shule ya msingi, nimekuja huku kufanyaje sasa, si ntakuwa nimepoteza muda bure, alafu hata elimu yangu itakuwa haina maana sasa kama ntarudi kuanza kutegemea wazazi, ntakomaa paka kieleweke,

Basi mzee nikabaki mwenyewe geto, Fikiri natakiwa nilipe kodi elf 50 kwa mwezi, bado umeme na maji, sjui kulipia taka taka, na kazi sina, Hapo ndo utajua kwanini mafua yanazibaga pua moja tu,

Basi mzee sikukata tamaa, bado napambana kutafuta kazi ila kila siku ni bora ya jana, Yaani aliekuwa ananiweka mjini ni Sity sasa, maana yeye ndo alikuwa anantumia elfu tano, nakula, mara analipa umeme paka kodi akawa analipa,

Akawa ananipa moyo sana kwamba nisijali ntapata kazi tu na mambo yatakaa poa, mwingine aliyekuwa ananisaidia ni dada mmoja wa chumba cha jirani, Alikuwa anaitwa Jamila, tukazoea kumuita Da J, Yeye akitoka mishe zake huko basi anapika msosi pale ananipa, siku nyingine nakwama umeme anantolea hivyo yaani,

Sasa baada ya kusota sana bila mafanikio nikaanza kwenda kushinda kwenye beting center, Pale riverside kwa ndani kuna sehemu kulikiwa na beting ya primier pale nikawa naenda kushinda pale, Sity akinipa buku tano nabania paka inabaki jero naenda kubeti pale, kulikuwa na mpira, michezo ya namba, michezo ya mmbwa, farasi na mingine, ikawa ndo hivyo ili mradi muda uende nirudi geto nilale,

Itaendelea
 
SEHEMU YA TISA

maana ile zahanati ya chuo naiamini, chochote utachopima pale utaambiwa hauna, kuna siku nilienda pale nnaumwa balaa, yaan nashikiliwa nisianguke, ajabu nikapimwa maleria nikaambiwa sina, kwenda kairuki kupima nakutwa na maleria za kufa mtu, basi nikasema pale ukienda kupima hata uzito si ajabu ukaambiwa hauna

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Zahanati nyingi ni za mchongo
 
Back
Top Bottom