MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Ha ha h mkuu huyu dogo noma. Tuwe wapole asije ishia Tunduma.Si ajabu atakwama mpakani kwa kukosa Paspoti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha h mkuu huyu dogo noma. Tuwe wapole asije ishia Tunduma.Si ajabu atakwama mpakani kwa kukosa Paspoti
We unaamini mapenzi?hebu tuanzie hapaMtu unaempenda akakueleza ukweli wa hali ina maana utamwacha aondoke bila kumpa moyo kama mwanzo mlipoachana?[emoji848]
Yaani nimekaa naemwaka mzima pale msewe Hadi Kodi nalipa,akaniaga anaenda kutafuta,kapotea mwaka mzima anarudi Tena Hali JoJo kuliko alivyoondoka,jamani hapa Ni kutafutiana dhambi ya roho mbaya tu....nitashindwa,na atakula block 😄Kwenye situation kama hio kama ww ndio SitySity jamaa ndio huyo ametokea,unamsaidiaje ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani!mwamba huyo Kama TerminatorHuyu Congo hakufika lazma Lori lilitumbukia mtoni na akapona.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani!mwamba huyo Kama Terminator
ww unashinda kwa huu uzi, akiweka mwendelezo uniite eeeh mama.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani!mwamba huyo Kama Terminator
Kwani wewe mleta mada alikutuma uje ukosoe upumbavu humu ? Af Da J ustake tuaribiane siku tuliza mattercore mtoa mada aahushe vitu utamuona make amefika Dar tyr ngja atoke kwenye contena aendeleeHujui kusoma vizuri eh ebu kasome tena ufiche ujinga wako. Sikukutuma uni quote punguza shobo na IDs za watu
Nana Unafuatilia story kwa makini [emoji23][emoji3]
Mvumilivu hula mbivu na Ngoja ngoja huumiza matumbo.Hilo Ni jibu la Swali usidandie
Kisodaa n zamu yake kuingizwaa kwenyee majangaa na bwana akili sina kumbukaa kila anakokatiza anakutanaa nachangamoto mpyaaa,zamu yakisoda ikiisha anarudi kwa da j na anamalizaa na sittyHilo Ni jibu la Swali usidandie
Unataka matusi nipigwe ban assholeHilo Ni jibu la Swali usidandie
Nilikutuma uniquote?punguza shoboUnataka matusi nipigwe ban asshole
Daaah Kisoda atajuta kumstua pale buguruni!Kisodaa n zamu yake kuingizwaa kwenyee majangaa na bwana akili sina kumbukaa kila anakokatiza anakutanaa nachangamoto mpyaaa,zamu yakisoda ikiisha anarudi kwa da j na anamalizaa na sitty
Subiri stori iishe kwanza tutaonan profile pic yangu inakusuNilikutuma uniquote?punguza shobo
Usijali,we kapuyange Ukiona bip yangu moja ukuje hapa chap kwa haraka!ww unashinda kwa huu uzi, akiweka mwendelezo uniite eeeh mama.