Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Gari lilipofika Igunga si nikashuka.
Nikenda kula tunda kimasihara na kumwagilia moyo kwa mtoto wa diwani.
Akili mtu wangu akili
 
Kwenye situation kama hio kama ww ndio SitySity jamaa ndio huyo ametokea,unamsaidiaje ?
Yaani nimekaa naemwaka mzima pale msewe Hadi Kodi nalipa,akaniaga anaenda kutafuta,kapotea mwaka mzima anarudi Tena Hali JoJo kuliko alivyoondoka,jamani hapa Ni kutafutiana dhambi ya roho mbaya tu....nitashindwa,na atakula block 😄
 
Mkuu Upo online na huweki muendelezo?! Please shusha hata moja usiku huu
Screenshot_20220526-194125_2.jpg
 
Hujui kusoma vizuri eh ebu kasome tena ufiche ujinga wako. Sikukutuma uni quote punguza shobo na IDs za watu
Kwani wewe mleta mada alikutuma uje ukosoe upumbavu humu ? Af Da J ustake tuaribiane siku tuliza mattercore mtoa mada aahushe vitu utamuona make amefika Dar tyr ngja atoke kwenye contena aendelee
 
Kisodaa n zamu yake kuingizwaa kwenyee majangaa na bwana akili sina kumbukaa kila anakokatiza anakutanaa nachangamoto mpyaaa,zamu yakisoda ikiisha anarudi kwa da j na anamalizaa na sitty
Daaah Kisoda atajuta kumstua pale buguruni!
 
Back
Top Bottom