Usilolijua kuhusu Mapenzi/Mahusiano, hisia za mapenzi kwa ujumla

Usilolijua kuhusu Mapenzi/Mahusiano, hisia za mapenzi kwa ujumla

Natamani niwe na moyo kama huo ila nkikumbuka ndo namkosa daima maishani..basi nakuwa mdogo kama piritoni.
Ni ngumu..hyo feeling naijua vizuri...Ila amini utasahau...atakuja mwingine...[emoji122][emoji122] Kabisaaa..alafu ataekuja atakuwa wa Moto huyoo
 
Yeah hiyo ndo option pekee pale unapotaka kutengeneza amani ya moyo ya kudum,lazima uwe na moyo mkuu,na Mungu atakutia nguvu yatakuja mapya,maan ya leo sio ya jana.
😢😢😢😢😢😢😢😢😢sijui nani aliyeleta mapenzi aise..
 
Back
Top Bottom