Usilolijua kuhusu Mapenzi/Mahusiano, hisia za mapenzi kwa ujumla

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bebe kumbe tunafanana ila me mekuzidi leo siku ya sita
Njooni kwangu, nami nitawapumzisha...[emoji39][emoji39]
[/QUOTE]
Mkuu unaleta masiara unajua ni kiasi gani moyo unauma ukiona jua linazama bila ya kuona calls wala text kutoka upande wa pili[/QUOTE]Daaah! Namimi mwendoo huohuo,leo siku ya tatu
 
Drama za kijinga zina work kwa broke niggaz tu au wale ambao hawana option za kupata mademu wengine.

Mtu mwenye option ukileta ushamba utamkuta ana bang na wanawake wengine hana habari naujinga wako 🤣🤣🤣🤣🤣! Let a man know you love him. Ukijitia nunda unaumia.
 
Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu kabisa,utaufanya moyo wake ukuchukulie poa,salam utaanza wew kila siku na usishangae asikujibu wakati mwingie.

Mpe space aone kuwa ikitokea amekaa kimya nini kinacho tokea,amin kama wakurudi atarudi na akirudi nidham itakuwepo.
 
Drama za kijinga zina work kwa broke niggaz tu au wale ambao hawana option za kupata mademu wengine.

Mtu mwenye option ukileta ushamba utamkuta ana bang na wanawake wengine hana habari naujinga wako 🤣🤣🤣🤣🤣! Let a man know you love him. Ukijitia nunda unaumia.
Kabisa mkuu wao ndo wanatufundisha sasa kuuona umuhim wa options,ilhali wengine tulikuwa hatutaki kabisa hizo mambo za kuwekana foleni.
 
Mkuu unaleta masiara unajua ni kiasi gani moyo unauma ukiona jua linazama bila ya kuona calls wala text kutoka upande wa pili
Daaah! Namimi mwendoo huohuo,leo siku ya tatu
[/QUOTE]
Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu kabisa,utaufanya moyo wake ukuchukulie poa,salam utaanza wew kila siku na usishangae asikujibu wakati mwingie.

Mpe space aone kuwa ikitokea amekaa kimya nini kinacho tokea,amin kama wakurudi atarudi na akirudi nidham itakuwepo.[/QUOTE]Yes,nakaza kinoma.bahati nzuri nilishamkata mabawa,ana mtoto wangu,na ameshanihonga nyumba,wacha nimzingue,yupo dom kikazi.
 
Kabisa mkuu wao ndo wanatufundisha sasa kuuona umuhim wa options,ilhali wengine tulikuwa hatutaki kabisa hizo mambo za kuwekana foleni.
Hivi imagine na hii baridi hapa Moshi halafu mwanamke anletee upumbavu wake. Chaaa, KCMC kuna watoto wazuri balaa wanapiga zao Medicine halafu kizuri ni waelewa hao! Naenda kamata Haika yangu moja kwa ukali.🤣🤣🤣

Kwa huyo anaeringa Itabaki story!!!
 
Back
Top Bottom