j wa nmb
Senior Member
- Jul 28, 2020
- 174
- 419
- Thread starter
- #61
Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu kabisa,utaufanya moyo wake ukuchukulie poa,salam utaanza wew kila siku na usishangae asikujibu wakati mwingie.Daaah! Namimi mwendoo huohuo,leo siku ya tatu
Mpe space aone kuwa ikitokea amekaa kimya nini kinacho tokea,amin kama wakurudi atarudi na akirudi nidham itakuwepo.[/QUOTE]Yes,nakaza kinoma.bahati nzuri nilishamkata mabawa,ana mtoto wangu,na ameshanihonga nyumba,wacha nimzingue,yupo dom kikazi.
[/QUOTE]
hapo sawa,kaza kibingwa,ukilegeza umekwenda na maji