Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu kabisa,utaufanya moyo wake ukuchukulie poa,salam utaanza wew kila siku na usishangae asikujibu wakati mwingie.Daaah! Namimi mwendoo huohuo,leo siku ya tatu
Yes,nakaza kinoma.bahati nzuri nilishamkata mabawa,ana mtoto wangu,na ameshanihonga nyumba,wacha nimzingue,yupo dom kikazi.Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu kabisa,utaufanya moyo wake ukuchukulie poa,salam utaanza wew kila siku na usishangae asikujibu wakati mwingie.
Mpe space aone kuwa ikitokea amekaa kimya nini kinacho tokea,amin kama wakurudi atarudi na akirudi nidham itakuwepo.
Daaah! Namimi mwendoo huohuo,leo siku ya tatuMkuu unaleta masiara unajua ni kiasi gani moyo unauma ukiona jua linazama bila ya kuona calls wala text kutoka upande wa pili
Yes,nakaza kinoma.bahati nzuri nilishamkata mabawa,ana mtoto wangu,na ameshanihonga nyumba,wacha nimzingue,yupo dom kikazi.Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu kabisa,utaufanya moyo wake ukuchukulie poa,salam utaanza wew kila siku na usishangae asikujibu wakati mwingie.
Mpe space aone kuwa ikitokea amekaa kimya nini kinacho tokea,amin kama wakurudi atarudi na akirudi nidham itakuwepo.
Mkuu hao wa medicne nao pasua kichwa tu,nlikuwa na wa bugando hapa alichonifanyia sitamsahau,ila nataka nkachukue mwngine hapo hapoHivi imagine na hii baridi hapa Moshi halafu mwanamke anletee upumbavu wake. Chaaa, KCMC kuna watoto wazuri balaa wanapiga zao Medicine halafu kizuri ni waelewa hao! Naenda kamata Haika yangu moja kwa ukali.🤣🤣🤣
Kwa huyo anaeringa Itabaki story!!!
Okay okayBrother hapo ni 2 in 1
Nishamuambia yuko mwenzake ko atulie ivo ivo asiniaribieMkuu wewe umetukana kabisa hahaha....ila kamawa kurudi atarudi tu haijalish hata ikiwa ni baada ya mwez
Unaopportunity kubwa sanaaa..Mahusiano ni kama Gari la masafa marefu, Tena lenye linapitia barabara yenye mashimo, milima na mabonde.
Inabidi muda wote ucheze na usukani, ukilala tu utajikuta ulisha acha barabara mda mrefu ulio pita na unaelekea shimoni. Hii ikiwa na maana usijisahau, kumbuka hisia zinapotea kutokana na changamoto mbali mbali, Usiisahau misingi iliyo wajenga.
Tengeneza mvuto muwapo pendoni, akumiss kidogo, ajue umuhimu wako ukiwa haupo, mpe mitihani fulani flani ya kuiweka roho juu,ajue wew ni ghali na thamani yako ni kubwa (hapa uwe na kiasi, na umakini kwa misuko suko midogo midogo unayo mpatia). Kwasababu Mapenzi ni sanaa, kumbuka binadam yeyote hupenda zaidi kile kitu anacho kisumbukia, kila mtu hupenda kile kitu ambacho si rahisi kukipata.
Baada ya misuko suko midogo dogo, mpatie good time ahisi uwepo wako na amani moyoni mwake.
Mfano mdogo, chukulia umeme unavyo katika, unaudhika sana lakini baada ya mda umeme unapo rudi, unahisi raha sana tofauti hata na pale ulivyo kuwa upo nao mwanzo.
Habari za mpenzi wangu sijui anasema hana feeling na mimi tena utaishia kuzisoma tuu hapa JF.
Though Mpenzi wangu kanichunia leo siku ya 5, but i hope i will make it again, hatakama itakuwa baadae sana.