Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

Ye mwenyewe anajua uzushi huu? Au ndio mipango ya kudai dola inaanza?
 
We mwenyewe ushasema vyanzo vyako havina uhakika na huenda historia imeharibiwa, usituchanganye hapa!
Ndio maana ya kuandika kisomi, unaacha mwanya kwa wafiatilaji wengine kusema zaidi.....pole ndo masaibu ya walimwengu mkuu
 
Umenena jambo boss
 

Mostly fabricated.
 
Ni mjukuu wa mjukuu wa(x43) wa Mtume,
Ukirudi nyuma vizazi vya kutosha hakuna ugumu kutaja undugu fulani kwa mtu yeyote.
Kwanza watu wote wa Ulaya ni Waafrika, maana wanatokana kwa zaidi ya 98% na hao homo sapiens erectus waliotoka Afrika. (chin i ya 1% ni akina Neanderthal, waliootangulia pale)

Halafu tangu siku za Waroma wa Kale (yaani miaka michache baada ya enzi ya Yesu) wanajeshi wa kikosi cha 10 (waliajiriwa Misri Kusini, walitoka kutoka Sudani) walipelekwa Ujerumani, Uswisi, Ufaransa na Uingereza. Usiwe na wasiwasi kama walizaa na mabinti wa huko. Hata kama haionekani tena, upande wa rangi, jenetiki haipotiei.

Ila tu: hiim inasaidia nini?
 
Wafia ukristo kukuelewa itachukua miaka dahari hata wazungu nadhani ni kati ya habari hawapendi kuisikia.
 
Reactions: SIM
Khaaa...imebidi nicheke aisee ...vitu vingine kuviamini yataka moyo sana ...duuh
Ndiyo maana watu husema wajinga wote ni waumini wa dini. Ila mimi ningeenda mbali na kusema wapumbafu wengi wapo huko. Wakishaamini hata kama ni tangi oori wataliamini tu.
 
Wazee wa kulazimisha king
 
Wewe unaweza kuona hivyo mtoa mada anaamini. Kuna website kaingia kaingizwa choo cha kike kaamua kuwapata wafuasi wapotee pamoja si unajua wafia dini wote ni wagonjwa wa oblangata
 
Thus why nalipenda sana jna Fatima
 

The reaction to the Queen's reported links to the Prophet have been mixed.
Abdelhamid Al-Auouni welcomed the news in his piece in Moroccan newspaper Al-Ousboue, writing: 'It builds a bridge between our two religions and kingdoms.'
Meanwhile a tongue-in-cheek headline on the Arab Atheist Network's web forum read: 'Queen Elizabeth must claim her right to rule Muslims.'
One person on internet forum Reddit rubbished the claims however, writing: 'This is just propaganda used by the British monarchy to appease the growing number of Muslim subjects.'
 
Hawa ndugu zetu wa mama mdogo,kwa kupenda kiki! Mpo vzr.
Kuna siku mtatuambia,Mark zukerberg boss wa Facebook ni Islam,au Trump,Bush,bill gate,kwamba wote hawa asili yao Uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…