Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

Wakupe castle lite mbili baridi ntalipa
Hakuna Kizazi cha mtume. Fatma ndie mtoto pekee wa mtume aliekuwa na watoto wawili ambao ni Hassan na Hussein ambao nao wote wawili walifariki kabla ya kuoa na kupata mtoto.
Mtume hakuwa na kaka,mdogo wala Dada hivyo habari hizo tuzichukulie ni utani kama si upotoshaji wa makusudi.
 
itikadi za mashia!!
wana itikadi mtume ataingia motoni siku ya kiama,wanaitikadi mtu mweusi hatoingia peponi mpk aingizwe motoni akatakaswe,wanaitikadi ,wanaitikadi kuwa mke wa mtume mama Aisha (Allah amridhie) Amazini,dini yakishia inaruhusu kumwaga damu ya asiyekuwa shia,wanawatukana maswhaba waongofu
 
Hessein alirithi kifo cha baba yake, kwani na yeye aliuliwa kwa sumu na mkewe Myahudi!
Umechanganya hasani ndo aliuliwa na mkewe kwa kutiliwa sumu kwenye chakula baada ya kutongozwa na mfalme aliyemuona kwenye sherehe sasa alipomuoa akaenda kwa mfalme then mfalme akamtimua
 
Yani adi nmejkuta nacheka, kweli watanzania inabd muingie ktk maajabu saba ya dunia kwa uongo ulopitiliza.
Yan umekaa ukaamua kutudanganya jmn.
Hya mjukuu wa yesu ni nani!?
 
Ni mjukuu wa mjukuu wa(x43) wa Mtume, kama unasaba wa uspain wa zamani utazingatiwa.
Ingawaje ni vyema kufahamu pia kuwa nyingi ya vyanzo vingi vya miaka ya kale ima vimeharibiwa au havipo wazi kias cha kutosha sana(Unclear)

Sasa undungu unaanzia hapa;
Mwaka 1023,Abu al-Qasim Muhammad ibn Abbad alikuwa mtawala wa Seville huko al-Andalus.
Kabla ya hapo alikuwa qudi(Jaji) alieteuliwa na Caliph wa Carboda ambaye alipata madaraka baada ya kuinyakua ABBADIDIDS.
Huyo alikuwa uzao wa Mtume kupitia kwa bintiye Fatima na mjukuu wake Hasan ibn Ali

Mwaka 1091 wakati ambapo Almoravids kutokea Morocco walipovaimia Hispania ya kiislam, mjukuu wake Al-Mu'tamid ibn Abbad wakashindwa vita. Bintiye Zaida alikimbilia kaskazini na kupata hifadhi kwa Mfalme Alphonso wa Sita(VI) wa Leon na kuwa msaidizi wake(Hapo Mfalme alikuwa ashaoa. lakini mkewe alikuwa anaumwa sana, Zaida alibadili dini na kuwa mkristo(Aliitwa Isabella).
Wakati mke wa mfalme alipofariki, mfalme alimuoa Zaida na kuzaa nae watoto watatu.

Mwaka 1352, Maria de Padilla, uzao wa Zaida na Alfonso walikuwa wasaidizi wa mfalme Peter wa Castille na kumzalia watoto wanne, wawili kati yao wakaolewa na mfalme Edward wa tatu wa uingereza.
Ni kwenye uzao wa Isabela wa Castile na Edmund na Duke ndipo malkia wa sasa wa uingereza anapotokea!
Kifupi uzao wao upo hivi..
Elizabeth II, Queen of the UK - daughter of
George VI, King of the UK - son of
George V, King of the UK - son of
Edward VII, King of the UK - son of
Victoria, Queen of the UK - daughter of
Edward, Duke of Kent and Strathearn - son of
George III, King of Great Britain - son of
Frederick, Prince of Wales - son of
George II, King of Great Britain - son of
George I, King of Great Britain - son of
Sophia, Electress of Hanover - daughter of
Elizabeth of Bohemia - daughter of
James I/VI, King of England, Ireland & Scotland - son of
Mary, Queen of Scots - daughter of
James V, King of Scots - son of
Margaret Tudor - daughter of
Elizabeth of York - daughter of
Edward IV, King of England - son of
Richard Plantagenet, Duke of York - son of
Richard of Conisburgh, Earl of Cambridge - son of
Isabella Perez of Castille - daughter of
Maria Juana de Padilla - daughter of
Maria Fernandez de Henestrosa - daughter of
Aldonza Ramirez de Cifontes - daughter of
Aldonza Gonsalez Giron - daughter of
Sancha Rodriguez de Lara - daughter of
Rodrigo Rodriguez de Lara - son of
Sancha Alfonsez, Infanta of Castile - daughter of
Zaida (aka Isabella) - daughter of
Al-Mu'tamid ibn Abbad, King of Seville - son of
Abbad II al-Mu'tadid, King of Seville - son of
Abu al-Qasim Muhammad ibn Abbad, King of Seville - son of
Ismail ibn Qarais - son of
Qarais ibn Abbad - son of
Abbad ibn Amr - son of
Amr ibn Aslan - son of
Aslan ibn Amr - son of
Amr ibn Itlaf - son of
Itlaf ibn Na'im - son of
Na'im II al-Lakhmi - son of
Na'im al-Lakhmi - son of
Zahra bint Husayn - daughter of
Husayn ibn Hasan - son of
Hasan ibn Ali - son of
Fatima - daughter of
Muhammad (pbuh)

Historia ya uislamu ipo vitabuni na vitabu vya waandishi wanaokubalika katika dini, tuambie hii ipo kwenye kitabu gani?
 
mkuu kuna kitu, subiri asubuhi utagundua umeandika nini
Malkia kweli anatoka familia ya mtume. Baba ya babu yake mzaa mama wa king George alikua muislamu ila alibadilisha dini alipomuoa bibi ya bibi ya babu yake mzaa mama wa king George kuwa mkristu.
 
Ni mjukuu wa mjukuu wa(x43) wa Mtume, kama unasaba wa uspain wa zamani utazingatiwa.
Ingawaje ni vyema kufahamu pia kuwa nyingi ya vyanzo vingi vya miaka ya kale ima vimeharibiwa au havipo wazi kias cha kutosha sana(Unclear)

Sasa undungu unaanzia hapa;
Mwaka 1023,Abu al-Qasim Muhammad ibn Abbad alikuwa mtawala wa Seville huko al-Andalus.
Kabla ya hapo alikuwa qudi(Jaji) alieteuliwa na Caliph wa Carboda ambaye alipata madaraka baada ya kuinyakua ABBADIDIDS.
Huyo alikuwa uzao wa Mtume kupitia kwa bintiye Fatima na mjukuu wake Hasan ibn Ali

Mwaka 1091 wakati ambapo Almoravids kutokea Morocco walipovaimia Hispania ya kiislam, mjukuu wake Al-Mu'tamid ibn Abbad wakashindwa vita. Bintiye Zaida alikimbilia kaskazini na kupata hifadhi kwa Mfalme Alphonso wa Sita(VI) wa Leon na kuwa msaidizi wake(Hapo Mfalme alikuwa ashaoa. lakini mkewe alikuwa anaumwa sana, Zaida alibadili dini na kuwa mkristo(Aliitwa Isabella).
Wakati mke wa mfalme alipofariki, mfalme alimuoa Zaida na kuzaa nae watoto watatu.

Mwaka 1352, Maria de Padilla, uzao wa Zaida na Alfonso walikuwa wasaidizi wa mfalme Peter wa Castille na kumzalia watoto wanne, wawili kati yao wakaolewa na mfalme Edward wa tatu wa uingereza.
Ni kwenye uzao wa Isabela wa Castile na Edmund na Duke ndipo malkia wa sasa wa uingereza anapotokea!
Kifupi uzao wao upo hivi..
Elizabeth II, Queen of the UK - daughter of
George VI, King of the UK - son of
George V, King of the UK - son of
Edward VII, King of the UK - son of
Victoria, Queen of the UK - daughter of
Edward, Duke of Kent and Strathearn - son of
George III, King of Great Britain - son of
Frederick, Prince of Wales - son of
George II, King of Great Britain - son of
George I, King of Great Britain - son of
Sophia, Electress of Hanover - daughter of
Elizabeth of Bohemia - daughter of
James I/VI, King of England, Ireland & Scotland - son of
Mary, Queen of Scots - daughter of
James V, King of Scots - son of
Margaret Tudor - daughter of
Elizabeth of York - daughter of
Edward IV, King of England - son of
Richard Plantagenet, Duke of York - son of
Richard of Conisburgh, Earl of Cambridge - son of
Isabella Perez of Castille - daughter of
Maria Juana de Padilla - daughter of
Maria Fernandez de Henestrosa - daughter of
Aldonza Ramirez de Cifontes - daughter of
Aldonza Gonsalez Giron - daughter of
Sancha Rodriguez de Lara - daughter of
Rodrigo Rodriguez de Lara - son of
Sancha Alfonsez, Infanta of Castile - daughter of
Zaida (aka Isabella) - daughter of
Al-Mu'tamid ibn Abbad, King of Seville - son of
Abbad II al-Mu'tadid, King of Seville - son of
Abu al-Qasim Muhammad ibn Abbad, King of Seville - son of
Ismail ibn Qarais - son of
Qarais ibn Abbad - son of
Abbad ibn Amr - son of
Amr ibn Aslan - son of
Aslan ibn Amr - son of
Amr ibn Itlaf - son of
Itlaf ibn Na'im - son of
Na'im II al-Lakhmi - son of
Na'im al-Lakhmi - son of
Zahra bint Husayn - daughter of
Husayn ibn Hasan - son of
Hasan ibn Ali - son of
Fatima - daughter of
Muhammad (pbuh)
Haya bhana.
Mohammad ni mjukuu wa adam kama mimi
Sisi ni ndugu..

But none of these methods of tracking of the descendants of Fatima bother to keep track of the female descendants who marry outside the prophet's progeny - surely their children are also descendants of the prophet, albeit not through a purely male ancestral chain. So even though Seyyids and Sharif's are a dime a dozen, we're still a very narrow branch of what is actually a huge genealogical tree.

From the perspective of genealogy, you realize that the prophet's descendants most likely make up a significant portion of the planet.

There are academic studies that place the Most Recent Common Ancestor of all humans within the historical era, only 2-4 thousand years ago. This means we're always greatly underestimating how related we all are, and underestimating the impressive reach of our ancestry (it is almost guaranteed that we all have royal blood from one monarch or another).

There's a study that concludes that an English child today has in his ancestry around 80% of the entire population of England of merely 8 centuries ago!! It is expected that humans living a thousand years from now will be able to claim all 7+ billion of us breeding today as ancestors, yes, you, and you, and even you, will be the ancestor of all xx billion humans living in the year 3013!!

So given 14 centuries of moving and breeding, most of us from that part of the world are probably the prophet's progeny, as well as many of people from other parts of the world. Interestingly enough, exactly due to this vast and varied pool of ancestors that each of us have (which in many cases will include the prophet), the genetic contribution of any individual ancestor beyond 1000 years becomes so diluted that it's effectively flushed out (the ship of Theseus has already sailed my friends).
 
Historia bwana balaaa, bibi yangu mzaa mama kila mtu wa kule kwetu yeye pia ndugu yake nae.
 
Back
Top Bottom