Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

Usilolijua: Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Muhamad(s.a.w)

sa kama ye ni mjukuu wa mtume mbina hazinusuru sunna za babu yake? then kuupotosha umma kwa kupindisha historian ya uislamu kamwe hilo halitafanikiwaa
 
Malkia wa uingereza ana asasi nyingi sana za misaada ikiwemo vituo vya kulea watoto yatima hasa ktk nchi za uk na canada na sehem zingine walemavu na nchini uingereza wanalelewa kama lulu wanapewa misaada yote muhimu ikiwemo pesa za kujikimu vilevile watoto yatima.
Anatoa misaada kuliko mtu yoyote hapa duniani tupa kule aga khan bakhresa na wengineo.
Ila huko kutoa misaada sio kwamba sababu lbd ni mjukuu wa muhamad au vinginevyo ila huyu mama acheni aishi marefu!ana roho nyeupe kuliko kiumbe yyte tajiri au mfalme alishatokea hapa duniani.
 
sa kama ye ni mjukuu wa mtume mbona hanusuru sunna za babu yake? kupindisha siraa hamtaweza kamwee wameshindwa mashia sembuse nyie mayahudi
 
Hakuna Kizazi cha mtume. Fatma ndie mtoto pekee wa mtume aliekuwa na watoto wawili ambao ni Hassan na Hussein ambao nao wote wawili walifariki kabla ya kuoa na kupata mtoto.
Mtume hakuwa na kaka,mdogo wala Dada hivyo habari hizo tuzichukulie ni utani kama si upotoshaji wa makusudi.

naomba uelezee na source kabisa, tufahamu vzr maana unaonekana unaufahamu tsha kwenye hili...!!!
 
Hahaha..upuuzi mtupu, yaan imebidi mlazimishe uzao kutoka kwa binti (kitu ambacho mnajua si sawa) ili tu kujustify mkitakacho.
unabisha tu huenda ikawa,mimi sikuamini kuona kua steve job wa apple kumbe ni msyria,babake mzazi yupo mpaka leo ila alimtosa kama diamond alivyotoswa na babake.
Hili suala la queen lina vyanzo vingi vya habari
 
Adam na Hawa hao ni ndugu zangu ngoja niwafafanulie sasa kama mnabisha....haaahaaaa nazingua tu siwez kuwa na mawazo uchwara hivyo
 
Khaaa...imebidi nicheke aisee ...vitu vingine kuviamini yataka moyo sana ...duuh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutafanyaje ss,wenywe washaamua,hta ukskia lorushwa ni mjukuu wa yuda ukubali tu[emoji124] [emoji124]
 
naomba uelezee na source kabisa, tufahamu vzr maana unaonekana unaufahamu tsha kwenye hili...!!!
Source ni syratu nabii. Yaani Historia ya Mtume Muhammad S.a.w. vitabu vyote vya Syrattu nabii vimelieleza hilo
 
Source ni syratu nabii. Yaani Historia ya Mtume Muhammad S.a.w. vitabu vyote vya Syrattu nabii vimelieleza hilo
Haya mkuu ...daah ...malikia Elizabeth ? [emoji85] [emoji85] [emoji13] [emoji13] [emoji125]
 
Back
Top Bottom