Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

Hatari sana,naona sasa tunaenda Ikulu.
 
Boni yai ni mtu wa watu. Serikali ndio ina shida
 
Aisee duh wanaogopa hiyo midevu ama , kwakweli mafiisieeemu yanahofu kuliko hofu yenyewee sasa hilo bonge hata mazoezi halina toto la mama ndio hao jobless wooote wamejaa namna hiyo kwakweli staajabu ya saaaaamier ukumbuke ya jiwe
 
Zamu hii hata kama wakifaulu kupeperusha kura za urais, lakini kwa wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji watavunwa na wapinzani.

Hata kama wakiwabambikia kesi wasiwepo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wananchi watapigia mawe au kivuli kuonesha hasira zao.

Kama baadhi ya viongozi wa upinzani wasingekuwa na ubinafsi na kujali maslahi wangepeana na kugawana maeneo kila moja wanakoungwa mkono basi CCM haingeweza tena kuchaguliwa na kizazi cha sasa pamoja na wasomi wenye akili zisizotegemea fadhila za watawala.
 
Chadema inaogopwa sana! Sasa sijui anayeiogopa ni CCM au ni Polisi .
Siku zote huwa naamini na nitaendelea kuamini kuwa kumtia korokoroni mwana siasa ni kumpaisha tu.
Na pengine ushindi wa Boni yai kuwa mwenyekiti wa chadema Kanda ya Pwani kunaweza kuwa kumechangiwa na uwepo wake korokoroni.
Boni yai angeshinda pengine sio kwa namna ile... Sympathy kwa wapiga kura
 
wakati kuandamana tu mmesalitiana
 
Wasaliti wa chadema ni wana chadema wenyewe.

Siku mtakapojua kuwabaini waowasaliti ndio mtakaposimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…