kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kama kuna askari aliyepigwa, Boniface ana la kujibu kwa kuwa ameipiga serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kama wale Hezibolahh...endelea kumpotosha. Nchi hii sio fujo.View attachment 3118252
Nimemuweka kwenye dp yangu naweza kusema huyu Mwamba amenifundisha kitu yaani ujasiri hasa kwa hawa Chawa ambao wapo madarakani kwa hisani ya mwendazake
Soma kwa kutumia akili basi nasio ubongo tu ndugu.Akili za wapi hizi🤔
Sisi ndiyo CHADEMA usitupangie...tutafuta kila kitu...ata nchi.Ppoz zziiiKufuta polisi ni hadaa. SEMENI tu mtafanya maboresho kadha wa kadha kuliboresha
Acha uoga wewe Mimi mwenyewe nina midevu kama hiyo. Namptosha nini sasa?Jamaa kama wale Hezibolahh...endelea kumpotosha. Nchi hii sio fujo.
Narudia..tena Jamaa kama Hezibollah..alafu huyo Bon Yai wengine tunamjua kuanzia kitambo ndugu.Acha uoga wewe Mimi mwenyewe nina midevu kama hiyo. Namptosha nini sasa?
sawaNarudia..tena Jamaa kama Hezibollah..alafu huyo Bon Yai wengine tunamjua kuanzia kitambo ndugu.
Walikuwa kwa nia njema kumlinda wabsaya wake wasmdhuru.Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.
Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa Mahakamani ili kuhakikisha Bonny Dongo hafurukuti, Idadi hii inatajwa kuzidi hata ile ya Askari waliomkamata Osama Bin Laden kwenye mapango.
View attachment 3117778
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.
View attachment 3117779
Hoja yetu ni hii, Sababu ya Kumpaisha huyu jamaa kiasi hiki ni nini hasa, Ana Ugaidi upi wa kuitisha Mamlaka kiasi cha kukodi hata Askari wa akiba wa Mikoa ya Jirani?
Angalizo letu ni hili hapa.
ana tofauti gani na UVCCM?sasa ndio nini kucomment wa kwanza kwenye uzi wako mwenyewe? Hii ndio kujitekenya na kucheka mwenyewe
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.
Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa Mahakamani ili kuhakikisha Bonny Dongo hafurukuti, Idadi hii inatajwa kuzidi hata ile ya Askari waliomkamata Osama Bin Laden kwenye mapango.
View attachment 3117778
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.
View attachment 3117779
Hoja yetu ni hii, Sababu ya Kumpaisha huyu jamaa kiasi hiki ni nini hasa, Ana Ugaidi upi wa kuitisha Mamlaka kiasi cha kukodi hata Askari wa akiba wa Mikoa ya Jirani?
Angalizo letu ni hili hapa.
Usiondoke JFWa juu ya paa picha tafadhali
Kwa hiyo uwepo wa usalama mahakamani ndio kutawaletea ushindi😅😅😅 au nimeelewa vibaya?Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.
Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa Mahakamani ili kuhakikisha Bonny Dongo hafurukuti, Idadi hii inatajwa kuzidi hata ile ya Askari waliomkamata Osama Bin Laden kwenye mapango.
View attachment 3117778
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.
View attachment 3117779
Hoja yetu ni hii, Sababu ya Kumpaisha huyu jamaa kiasi hiki ni nini hasa, Ana Ugaidi upi wa kuitisha Mamlaka kiasi cha kukodi hata Askari wa akiba wa Mikoa ya Jirani?
Angalizo letu ni hili hapa.
Joined 6/09/24, Ukikomaa utaelewaKwa hiyo uwepo wa usalama mahakamani ndio kutawaletea ushindi😅😅😅 au nimeelewa vibaya?
Hivi unajiona umepatia maisha kujiunga mapema na JF 🤣🤣🤣Joined 6/09/24, Ukikomaa utaelewa
onyesha wewe bas mawazo mapya muhimu na fikra mbadala gentleman?🤣
mbona tu unaonyesha mihemko na makasiriko tu huku huna jipya?🤣
Wamejiunga kwa fujo sana halafu hata wanachokiandika hakieleweki.Joined 6/09/24, Ukikomaa utaelewa
Hivi unaona wengine hawana haki ya kujiunga na JF kiongozi baada yako. Kumbuka kuna marika tofauti Tanzania, acha ubaguzi Mkuu. JF tu unaionea choyo ukishika madaraka unayopambania utawakumbuka vijana wewe?Wamejiunga kwa fujo sana halafu hata wanachokiandika hakieleweki.
ukweli huwa unaingia na kuchoma moyoni drani ndrani kabisa 🤣View attachment 3118741
Yaani uliandika mipasho na nikakwambia utimamu wako wa fikra ni finyu halafu unakuja unakanusha. Sibishani na wewe tena kwenye huu uzi. Nishaona kubishana na wewe ni utoto na kupoteza muda tu