Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

Umekuwa debe tupu hauachi kuvuma na Wewe anzisha mada za kumpamba SSH na utawala wake, maana nduguyo Mwashambwa ameanza kukata moto taratibu. Ukija kwenye nyuzi kama hii usiwe unachafua hali ya hewa kwa kuandika viroja. Wewe na chama chako si mna kila kitu ? Majeshi, TRA, BOT, Mbuga na Madini???
Hayo mavitu yote mnamiliki mna utilize vipi kwa ustawi wa nchi? Au nyinyi mmeshajiandaa kuikimbia Tanzania? Kimsingi ww Dada sijui Jamaa una akili za ajabu sana. Hali inasikitisha na kila siku mnamsifia tu huyo SSH na Chama lenu inatia aibu Waziri Mchengerwa alipokuwa Waziri wa TAMISEMI kabla ya kurudishwa tena mara ya pili tena kusema kwamba hela ya kukenga njia ya juu kutoka Magomeni mpaka Fire ipo tayari. Leo hii pale Jangwani maji yamekosa muelekeo Bajaj zikipita yanaingia mpaka ndani miguuni tulikopanda abiria. Jisikie aibu kusifia ujinga ujinga. Yaani hata kama ni nani Mimi nakuona ni mtu wa hovyo sana.
kwamba niache kufanya mambo muhimu ya wananchi nibabaike na mihemko yako 🤣

kwahiyo nimseifie Mzee wa konyagi?🤣

au puppet? analalamika na kuomba omba kuchangiwa huyo! tata tatatata 🤣
 
Huna mambo yoyote ya muhimu, halafu nakushangaa una react kwa kicheko it seems utimamu wako wa fikra uko finyu, acha personal attack na viongozi wakuu wa chama, haujibu hoja unaleta mipasho, akili zako zinazuzuka na nini? Konyagi sio haramu kwa sababu inalipiwa kodi ambazo serikali ya chama chako inawalipa watu kama wewe mnaopindisha kweli, yaani wewe nazidi kukudharau na kukuona kituko tu humu ndani. Jikite kwenye hoja za msingi acha kujifyatua akili. Hivi na yule Msigwa Mchungaji baada ya kumrubuni sasa hivi ana ishu gani tena?
Narudia tena usiwe unaleta viroja kwenye nyuzi zenye akili, anzisha nyuzi zako tutachangia kwenye kupongeza tutapongeza kwenye kukosoa tutakosoa. Chawa la Chama hata hoja huna unijekesha chekesha utadhani akili inataka kufyatuka
 
onyesha wewe bas mawazo mapya muhimu na fikra mbadala gentleman?🤣

mbona tu unaonyesha mihemko na makasiriko tu huku huna jipya?🤣
 
Kwa kifupi fikra zako ni finyu sana sijui unayo yafanya ni kwa akili yako ya asili au kwa mashinikizo ya watu fulani. Sina makasiriko wala.mihemuko wewe unaonekana ni kituko tu. Chawa wa Chama lete hoja zilizoshiba sio kuwaaatack Lissu na Mbowe kwa vihoja uchwara. Alafu una react kwa kiimoji cha kicheko kwa lengo la kunitoa kwenye njia ili nipaniki nipigwe BAN acha hizo. Kwa kifupi nakuona kama nilivyoandika hapo mistari mitatu ya mwanzo.
 
ukipigwa ban utakua umeonewa kwasabb mbona huna hata ulichokiuka gentleman, uko ndani ya vigezo na masharti ya kujadiliana humu JF, au unakusudia kupandisha ghadhabu na Mori zaidi ya hapo gentleman?🤣

Lisu na Mbowe ni viongozi waandamizi wa Chadema, ninaheshimu sana, na actually wananiheshimu sana pia kwasababu tumefanya kazi pamoja kwa muda mrefu Dr. Slaa akiwa katibu mkuu, na kwahivyo hakuna mahali naweza kuwaatack hao wangwana...

Yes,
tunaweza kua tunatofautiana nao hoja, maoni au mtazamo katika masuala kadha wa kadha Lakini hatuvunjiani heshima na wala hatuchukiani..

Infact mimi ni mbobevu katika masuala haya ya kisiasa, ninapoana mtu amepanic kwenye jambo ambalo ni rahisi sana Lazima niangue kicheko tu...

Naandika mambo mengi humu baada ya matokeo ya tafiti nyingi mno ninazofanya kuhusu mambo mbalimbali. Ukiona nipo kimya basi ujue sijakamilisha tafiti...

Zaidi sana,
ninafanya kazi na shughuli zangu huru ndani na nje ya JF bila shinikizo wala maelekezo ya yeyote kwasabb najitosheleza kila idara..

Na kwakweli nainjoy, najifunza, naelewa na kuongeza ufahamu wa kutosha juu ya mambo mengi mno nchini kupitia JF.
Infact, the gov eyes are ar also here 🐒
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.

Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa Mahakamani ili kuhakikisha Bonny Dongo hafurukuti, Idadi hii inatajwa kuzidi hata ile ya Askari waliomkamata Osama Bin Laden kwenye mapango.

View attachment 3117778
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.

View attachment 3117779
Hoja yetu ni hii, Sababu ya Kumpaisha huyu jamaa kiasi hiki ni nini hasa, Ana Ugaidi upi wa kuitisha Mamlaka kiasi cha kukodi hata Askari wa akiba wa Mikoa ya Jirani?

Angalizo letu ni hili hapa.

huwaga mnakosa mada za kuandika naona hivi watu wapo kazini uwapangie idadi ya kuwepo mahakamani? inamaana alikuwa bonipekeyake siku hiyo mahakamani? acheni ujinga
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.

Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa Mahakamani ili kuhakikisha Bonny Dongo hafurukuti, Idadi hii inatajwa kuzidi hata ile ya Askari waliomkamata Osama Bin Laden kwenye mapango.

View attachment 3117778
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.

View attachment 3117779
Hoja yetu ni hii, Sababu ya Kumpaisha huyu jamaa kiasi hiki ni nini hasa, Ana Ugaidi upi wa kuitisha Mamlaka kiasi cha kukodi hata Askari wa akiba wa Mikoa ya Jirani?

Angalizo letu ni hili hapa.

Walitaka kuonekana kwenye picha
 
ukipigwa ban utakua umeonewa kwasabb mbona huna hata ulichokiuka gentleman, uko ndani ya vigezo na masharti ya kujadiliana humu JF, au unakusudia kupandisha ghadhabu na Mori zaidi ya hapo gentleman?🤣

Lisu na Mbowe ni viongozi waandamizi wa Chadema, ninaheshimu sana, na actually wananiheshimu sana kwasababu tumefanya kazi pamoja kwa muda mrefu Dr Slaa akiwa katibu mkuu, na kwahivyo hakuna mahali naweza kuwaatack hao wangwana...

Yes,
tunaweza kua tunatofautiana nao hoja, maoni au mtazamo katika masuala kadha wa kadha Lakini hatuvunjiani heshima na wala hatuchukiani..

Infact mimi ni mbobevu katika masuala haya ya kisiasa, ninapoana mtu amepanic kwenye jambo ambalo ni rahisi sana Lazima niangue kicheko tu...

Naandika mambo mengi humu baada ya matokeo ya tafiti nyingi mno ninazofanya kuhusu mambo mbalimbali. Ukiona nipo kimya basi ujue sijakamilisha tafiti...

Zaidi sana,
ninafaka kazi na shughuli zangu huru ndani na nje ya JF bila shinikizo wala maelekezo kwasabb najitosheleza kila idara..

Na kwakweli nainjoy, najifunza, naelewa na kuongeza ufahamu wa kutosha juu ya mambo mengi mno nchini kupitia JF.
Infact, the gov eyes are ar also here 🐒
Hakuna kitu kama hicho alafu mbona umeanduka ni Wasifu wako tena ?
Nilikuona una fikra sana kumu attack Lissu eti Omba omba na hapo ukaandika Mzee wa Konyagi ukimlenga Mbowe kwa Vipicha vya kuokoteza mitandaoni tena vya ku edit. Huwa nawashangaa sana nyinyi ambao ni Makada wa Chama badala ya kuwa mnaandika yaliyofanywa na Chama toka mwaka 1972 mpaka leo 2024 na nyinyi huwa ndio mnaonekana mna fikra finyu kabisa Wanachama wa Chama chenye dola na Serikali mnajikita kwenye vipropaganda vya kitoto ambavyo hata.mtoto wa darasa la sita hawezi kuamini kwamba mtu anayejiita ni mbobezi na mwenye wasifu kama Wako. Unafikirisha sana na unavyosema umewahi kufanya kazi na Watu kama Mbowe au Dr Slaa lakini huwa unaandika porojo porojo ambazo kwenye duniani ya utandawazi inaona ni vituko tu ? Nimediriki kukuambia unatumia akili yako ya asili au unaandika kwa maelekezo maalumu?
 
gentleman inaonekana una mambo mengi sana moyoni 🤣

tiririka bana upate relief kidogo maana kukaa na mambo mengi moyoni tena ya siasa, sio jambo zuri hata kidogo....

Mimi sijasema hata sehemu moja kwamba ati fulani ni ombaomba, au fulani anakunywa konyagi, usinilishe maneno tafadhali gentleman.
Hiyo ni tafsiri yako...

Infact,
Mimi binafsi bila kuomba Mungu hizi Neema na Baraka za kujadiliana nawe nisingekua nazo. Nimeenda kugombea ubunge kwa mara ya kwanza nikiwa na laki5 mfukoni, nikaambiwa nimechanganyikiwa. Sijui leo hii walioniita nimechanganyikiwa wanajiskiaje nafsini mwao na tunaonana na ninawaheshimu. Ombeni nanyi mtapewa...

Halafu gentleman,
be specific basi, kama unaniadress mimi just address me directly, na kama unaadress chama be specific, ili ujibiwe na wenye Chama ipasavyo.
Acha kutapatapa mara uelezee chama mara uhusishe wasiohisika yaan unaweweseka sana...

Halafu,
Kitaalama, ukisema fulani ana fikra finyu, then unakuja na fikra mbadala pana dhidi ya hizo unazosema finyu, right?

sasa unasema fulani ana fikra finyu, halafu badala yake unakuja na mihemko, ghadhabu na makasiriko?
kwamba hizo ndizo fikra mbadala pana right? 🤣

hiyo ni useless kabisaaaa ni nonsense politically speaking 🐒
 
Nasikia siku ya kumkamata pale sinza ulipigwa mkono kama van dame,polisi wawili walivunjika taya mwingine nyonga haifanyi kazi yuko moi,ndio maana dhamana ilichelewa wakihofia yule wa moi asije kufa
Hahahaaa jamaa una utani sana
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.

Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa Mahakamani ili kuhakikisha Bonny Dongo hafurukuti, Idadi hii inatajwa kuzidi hata ile ya Askari waliomkamata Osama Bin Laden kwenye mapango.

View attachment 3117778
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.

View attachment 3117779
Hoja yetu ni hii, Sababu ya Kumpaisha huyu jamaa kiasi hiki ni nini hasa, Ana Ugaidi upi wa kuitisha Mamlaka kiasi cha kukodi hata Askari wa akiba wa Mikoa ya Jirani?

Angalizo letu ni hili hapa.

Huyo ni gaidi tu, hivyo Serikali LAZIMA iwe makini!
 
Back
Top Bottom