Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

Askari wetu hawanaga kazi za kufanya wanalipwa mishahara ya bure tu.
 
Umesahau mkuu.

Maaskari wengine 70 walikua chini ya ardhi.
 
Ni kweli, ila yule wa Taya kawekewa waya, yule wa Nyonga kachomekwa Chuma, wote wako hai na Wameruhusiwa
Halafu siku ya kustaafu wanakabidhiwa milioni 18 kwa niaba ya kikokotoo halafu wanarudi kijijini kujifunza kulima mpunga.
 
Sisi ndiyo CHADEMA usitupangie...tutafuta kila kitu...ata nchi.Ppoz zziii
Hata aibu huna! Wewe chawa na mlivyo na akili fupi huwezi kukumbuka hata asili yako kwenye mikesha!

If it quacks like a duck and walks like a duck, it is a duck. Wewe na Chadema wapi na wapi, acha ujinga.
 
Umeandika nini?
 
Mungu muache aitwe Mungu,kuna muda anaruhusu mambo yafanyike!,Wakadhani wanammbomoa ndio wanampa kujulikana zaidi!
Utakuta wakubwa wao wanaotembelea ma_vieiti ndio wametoa maaagizo ya kuwepo idadi kubwa kiasi hicho cha askari ili kumfurahisha mwenyekiti wa ccm
 
Back
Top Bottom