Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

Hapo itakuwa na posho juu ya kazi maalum
 
Wanahofia utajiri wao.
 
Chadema wana nguvu sana, siku zijazo WATAITAWALA NCHI.
 
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.😀😀😀😀
 
Hesabu ya Haraka inaonyesha kwamba kwenye kizimba cha Mahakama alipokuwa Bonny alizungukwa na Askari wenye sare zaidi ya 25, Juu ya Paa kulikuwa na Askari zaidi ya 20, kwenye Geti la kuingilia kulikuwa na zaidi ya Askari 18, Huku ndani ya Mahakama wakijazwa zaidi ya Askari 50 waliovaa Kiraia.


View: https://x.com/Mwabuk2Boniface/status/1843340559328624812?t=rbPV4hMEmOXnUYvFOCCyWA&s=19
 
Huyu mwamba anambigu yake aisee..
Anapendwa hadi na hao askari.
Mungu akitaka kukuinua majaribu kama haya nikawaida sana.

Boni yai. Ni mtu poa sana aisee
Mwamba sana huyu jamaa mpaka kwenye dp yangu nimemuweka yeye ✌️✌️✌️
 

Nimemuweka kwenye dp yangu naweza kusema huyu Mwamba amenifundisha kitu yaani ujasiri hasa kwa hawa Chawa ambao wapo madarakani kwa hisani ya mwendazake
 
Wanaiunga CDM mkono
 
kwahivyo hapa umetiririka hoja nzito ya maana sana gentleman? dah 🤣
 
kwahivyo hapa umetiririka hoja nzito ya maana sana gentleman? dah 🤣
Umekuwa debe tupu hauachi kuvuma na Wewe anzisha mada za kumpamba SSH na utawala wake, maana nduguyo Mwashambwa ameanza kukata moto taratibu. Ukija kwenye nyuzi kama hii usiwe unachafua hali ya hewa kwa kuandika viroja. Wewe na chama chako si mna kila kitu ? Majeshi, TRA, BOT, Mbuga na Madini???
Hayo mavitu yote mnamiliki mna utilize vipi kwa ustawi wa nchi? Au nyinyi mmeshajiandaa kuikimbia Tanzania? Kimsingi ww Dada sijui Jamaa una akili za ajabu sana. Hali inasikitisha na kila siku mnamsifia tu huyo SSH na Chama lenu inatia aibu Waziri Mchengerwa alipokuwa Waziri wa TAMISEMI kabla ya kurudishwa tena mara ya pili tena kusema kwamba hela ya kukenga njia ya juu kutoka Magomeni mpaka Fire ipo tayari. Leo hii pale Jangwani maji yamekosa muelekeo Bajaj zikipita yanaingia mpaka ndani miguuni tulikopanda abiria. Jisikie aibu kusifia ujinga ujinga. Yaani hata kama ni nani Mimi nakuona ni mtu wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…