Usilolijua ni kwamba Aron Kagurumujuli amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni

Mkuu hao jamaa hawajali lolote kuhusu hivyo vitisho vya Mungu, maana Mungu yuko kiimani zaidi, wakati wao wanafaidika na fedha za umma katika uhalisia.
Kweli hawajali kwakuwa faida wapatazo ni immediate,hazisubiri .Ni vyeo na fedha za kutumbua.wanakula pepo hapahapa duniani
 
Umetokea nchi gani au una umri gani ?!.
Ni tatizo hili,ndo naposema kuwa kuna watu wanapewa kazi maalumu wao ilifika asubuhi wanaambiwa semeni sasa ni jioni.Watafanya nini ikiwa hiyo ndiyo kula yao?Tuendelee kuishi nao na kuwaombea njaa ziishe.
 
wabongo kwa kulalamika hatujambo mwacheni kama kachaguliwa afanye kazi hizo habar za kumuua mwanafunzi sote tunasikia stori tu hakuna aliekuepo kwenye tukio na hata kama alikuepo kwenye tukio chumvi lazma iongezeke japo kidogooo
Marehemu aliuawa kwa risasi au la?
 
Marehemu aliuawa kwa risasi au la?
hata akifa kwa makamasi haijalishi mtapiga kelele hamna kinachobadilika zaidi mnatembea na chuki na mahasira mioyoni mwenu msioweza hata kufanyia kazi nchi kama tz we fanya mambo yako maana hata wenye mamlaka wanafanya yao
 
Una uwezo mdogo sana !
 
Ni kweli wenye mamlaka wanafanya yao ikiwemo na kuua wasiyo na mamlaka.Siku akiuwa mtu wa familia yako utazungumza lugha mpya.
 
Kweli hawajali kwakuwa faida wapatazo ni immediate,hazisubiri .Ni vyeo na fedha za kutumbua.wanakula pepo hapahapa duniani

Kabisa, namna pekee ya hawa wahuni kujutia uhuni wao ni machafuko na hatua kali dhidi yao zifuate. Lakini habari za Mungu ni kujifariji tu.
 
CCM imejaa mashetani tupu
 
Ni Kagurumujuli wa Kibondo au sehemu nyingine? 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…