Usilolijua ni kwamba Aron Kagurumujuli amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni

Bavicha hamuishi kulalamika na kulialia kama watoto
 
Jamaa ni Tajiri Sana ,ana Scania Mende Kama 20 hivi....Huyu ilipaswa atulie ale hela alizoiba kipindi DED.
 
Hawa ndio wale wanao jinadi kwa kujitapa walikuwa chinja chinja.
 
Pumbavu katika ubora wake, binadamu mwenzako anapigwa risasi na kufa and you're taking as a joke, hujali familia yake,rafiki zake and umri wake she was so young mkuu, ningekua na uwezo wa kukuzima punzi ningefanya hivyo muda huu, katili mno uliyetoka kwenye familia iliyokulea kikatili na kishenzi
wabongo kwa kulalamika hatujambo mwacheni kama kachaguliwa afanye kazi hizo habar za kumuua mwanafunzi sote tunasikia stori tu hakuna aliekuepo kwenye tukio na hata kama alikuepo kwenye tukio chumvi lazma iongezeke japo kidogooo
 
Shetani huwapa thawabu kwa watumishi wake waaminifu. Kadiri shetani anavyowajaza watumishi wake ndani ya CCM ndivyo chama hicho kitakavyozidi kuwa cha kishetani.

Wauaji wanaotumia nafasi zao, wote huwa ni wanaCCM.
 
Jamaa ni Tajiri Sana ,ana Scania Mende Kama 20 hivi....Huyu ilipaswa atulie ale hela alizoiba kipindi DED.
Kwa CCM, hata uwe jambazi kiasi gani, jkiwa na pesa, utapata kila cheo unachotaka.
 
ndio wewe uliyezimia na mfuko wa sato mkononi ?

View attachment 2380989
Siwezi kuwa mpuuzi kiasi hicho! Hivi hamuoni aibu kuona nchi inavyoteketea baada ya Mpuuzi Tundu Lissu na Mbowe kuhongwa na nyie vibaraka wao mkaanza kusifia mafisadi wa CCM hapa JF. Nakuapia yeyote ambaye Mpaka leo hajaona jinsi JPM alivyoipigania hii nchi, ni wa kupuuzwa ukiwemo wewe
 
Na yule wa Arusha sijui kapita
 
DAMU YA AKWILINA BADO ITAWATAFUNA WAO NA VIZAZI VYAO ALIYEMTUMA KESHA LALA
 
Sawa alikuwa mkurugenzi wakati ule Akwilina alipouwawa. Sasa yeye kushiriki chaguzi za CCM kama mwanaCCM kunq ubaya gani? Je kama alishastaafu utumishi wa umma?

Acheni siasa njaa bana.
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-162706.jpg
    106.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…