Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaridhiki hao .Jamaa ni Tajiri Sana ,ana Scania Mende Kama 20 hivi....Huyu ilipaswa atulie ale hela alizoiba kipindi DED.
Hawa ndio wale wanao jinadi kwa kujitapa walikuwa chinja chinja.Huyu jamaa nikisikia jina lake nakasirika moyoni.Ni Jirani yangu kwa huku mkoani,lakini aisee kitendo kile alichowafanyia mawakala wa CDM kilichosababisha vurugu hakitasahaulika kamwe .Daima ataandikwa katika historia kama kiongozi katili asiyependa demokrasia ambaye alikuwa tayari kufanya chochote kulinda tumbo lake.
wabongo kwa kulalamika hatujambo mwacheni kama kachaguliwa afanye kazi hizo habar za kumuua mwanafunzi sote tunasikia stori tu hakuna aliekuepo kwenye tukio na hata kama alikuepo kwenye tukio chumvi lazma iongezeke japo kidogooo
Shetani huwapa thawabu kwa watumishi wake waaminifu. Kadiri shetani anavyowajaza watumishi wake ndani ya CCM ndivyo chama hicho kitakavyozidi kuwa cha kishetani.Kwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na kupasuliwa kichwa ndani ya Daladala , kwenye Mauaji ambayo walengwa hasa walikuwa viongozi wa Chadema , Kagurumujuli alishirikiana Kikamilifu na RPC wa Kanda Maalum aliyeitwa Lazaro Mambosasa .
Hadithi hii ni ndefu sana , na nina hakika kwa dondoo hizo hapo juu angalau nimewakumbusha jambo .
Bali itoshe tu kusema kwamba Kagurumujuli , aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi unaoandaliwa na Tume ya Uchaguzi , Amechaguliwa kwa kishindo kuwa MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA kutokea Wilaya ya Kinondoni , kwa tafsiri ya haraka , inaonyesha kwamba wanaccm wa Kinondoni wamemlipa Kagurumujuli kwa kazi nzuri ya kukisaidia chama chao na kushiriki mauaji ya Akwilina .
#Katiba mpya ni sasa
Kwa CCM, hata uwe jambazi kiasi gani, jkiwa na pesa, utapata kila cheo unachotaka.Jamaa ni Tajiri Sana ,ana Scania Mende Kama 20 hivi....Huyu ilipaswa atulie ale hela alizoiba kipindi DED.
Hata Shetani naye huitwa "mungu".For your information JPM yupo kuume kwa Mungu
Chadema wasiompenda JPM ndiyo sheitwani ujueHata Shetani naye huitwa "mungu".
Shetani ni "mungu" wa Ulimwengu.Chadema wasiompenda JPM ndiyo sheitwani ujue
ndio wewe uliyezimia na mfuko wa sato mkononi ?Chadema wasiompenda JPM ndiyo sheitwani ujue
Siwezi kuwa mpuuzi kiasi hicho! Hivi hamuoni aibu kuona nchi inavyoteketea baada ya Mpuuzi Tundu Lissu na Mbowe kuhongwa na nyie vibaraka wao mkaanza kusifia mafisadi wa CCM hapa JF. Nakuapia yeyote ambaye Mpaka leo hajaona jinsi JPM alivyoipigania hii nchi, ni wa kupuuzwa ukiwemo wewe
Na yule wa Arusha sijui kapitaKwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na kupasuliwa kichwa ndani ya Daladala , kwenye Mauaji ambayo walengwa hasa walikuwa viongozi wa Chadema , Kagurumujuli alishirikiana Kikamilifu na RPC wa Kanda Maalum aliyeitwa Lazaro Mambosasa .
Hadithi hii ni ndefu sana , na nina hakika kwa dondoo hizo hapo juu angalau nimewakumbusha jambo .
Bali itoshe tu kusema kwamba Kagurumujuli , aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi unaoandaliwa na Tume ya Uchaguzi , Amechaguliwa kwa kishindo kuwa MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA kutokea Wilaya ya Kinondoni , kwa tafsiri ya haraka , inaonyesha kwamba wanaccm wa Kinondoni wamemlipa Kagurumujuli kwa kazi nzuri ya kukisaidia chama chao na kushiriki mauaji ya Akwilina .
#Katiba mpya ni sasa
DAMU YA AKWILINA BADO ITAWATAFUNA WAO NA VIZAZI VYAO ALIYEMTUMA KESHA LALAKwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na kupasuliwa kichwa ndani ya Daladala , kwenye Mauaji ambayo walengwa hasa walikuwa viongozi wa Chadema , Kagurumujuli alishirikiana Kikamilifu na RPC wa Kanda Maalum aliyeitwa Lazaro Mambosasa .
Hadithi hii ni ndefu sana , na nina hakika kwa dondoo hizo hapo juu angalau nimewakumbusha jambo .
Bali itoshe tu kusema kwamba Kagurumujuli , aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi unaoandaliwa na Tume ya Uchaguzi , Amechaguliwa kwa kishindo kuwa MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA kutokea Wilaya ya Kinondoni , kwa tafsiri ya haraka , inaonyesha kwamba wanaccm wa Kinondoni wamemlipa Kagurumujuli kwa kazi nzuri ya kukisaidia chama chao na kushiriki mauaji ya Akwilina .
#Katiba mpya ni sasa
AmenDAMU YA AKWILINA BADO ITAWATAFUNA WAO NA VIZAZI VYAO ALIYEMTUMA KESHA LALA
Na hasa upande wa viroba vya maiti ufukweni , kweli imegotaErythrocyte kweli huoni nchi hii kuwa imegota?