H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 1,100
- 2,079
Kuna kamtindo cha baadhi ya watu kubeza wenzao kuhusu ugonjwa fulani ambao umemkuba au unamsumbua kwa sababu tu ya mambo ya ku view majambo ya dunia au ushabiki fulani, ikitoka kutofautiana huko alafu mmoja wapo apate ugongwa mwenzake unakuta anatumia ile weakness ya ugonjwa kumbeza mwenzake haijakaa powa never do that coz Allah know the best never do that coz u never know what 2morrow may bring to u
#just stay humble no matter what.
#just stay humble no matter what.