Usimchukulie poa mtu ambaye humfahamu

Usimchukulie poa mtu ambaye humfahamu

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa.

Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa anamtolea nje ila Alhamisi akaamua kumuuliza unanitakia nini jamaa akarespond nataka gemu.

Sasa best yangu akamwambia Ijumaa nna nafasi njoo kwa mechi rafiki ila yule dada alimchukulia powa akimwona fala sana. Sasa si ikaja siku yenyewe, dah msidharau rough people, kamchapa mpaka basi mpaka huyo dada akarudisha heshima, so kumbe hawa wakaka ambao hawavai vizuri msiwachukulie powa.

Jana akanitext nakuniambia kuwa usidharau mtu usiyemjua.
 
Me sijui nilidhani utaongelea nini[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mambo ya kuchapana[emoji38][emoji38][emoji38] haya bhn
 
Ptuuuuuuuuuuuuuuh
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu
Buuuijuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
katoto unazungumziaje sisi tunaovaa rough??

jibu kama mtu unaedharau usiowajua
 
Mashoga mmekua wengi sana humu
Kwanza hii id nimeona leo kati yangu mimi na wewe nani shoga hii id ina miaka 2 humu na zaidi halafu unaniambia mishoga nikome mwehu kabisaaa mi mwanamke najitambua kama wewe ni shoga uza kimpango wako ila hukumu inakusubiria
 
Back
Top Bottom