katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa.
Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa anamtolea nje ila Alhamisi akaamua kumuuliza unanitakia nini jamaa akarespond nataka gemu.
Sasa best yangu akamwambia Ijumaa nna nafasi njoo kwa mechi rafiki ila yule dada alimchukulia powa akimwona fala sana. Sasa si ikaja siku yenyewe, dah msidharau rough people, kamchapa mpaka basi mpaka huyo dada akarudisha heshima, so kumbe hawa wakaka ambao hawavai vizuri msiwachukulie powa.
Jana akanitext nakuniambia kuwa usidharau mtu usiyemjua.