Usimfanye ajute kuwa mkeo /mmeo.........................!

Usimfanye ajute kuwa mkeo /mmeo.........................!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
1.Kila siku kuingia nyumbani ni kuanzia saa saba usiku kama si asubuhi
2. Unakaa umenuna nuna bila sababu za msingi

3. Unalalamika mwenzangu haniridhishi unajuaje kama wewe unamridhisha ?

4.Unalalama mwenzangu mkorofi wewe umejichunguza kama si mkorofi

5.Out kila unaenda peke yako utadhani mwenzio hapendi kutoka out

6. Mkienda sehemu hamuongozani pamoja ..mmoja mbele mmoja nyuma utadhani hamfahamiani

7.Ukipigiwa simu unakimbilia chooni kuongea kama si nje

8.Kutwa hujiamini unahisi kuibiwa

9.Namba za kina Asia /Johan umesave ..Fundi Bomba …Fundi Umeme…Baba Paroko

10.Namba za Kina Joram /Hamis umesevu Msusi/Dada wa Viatu..

11.Unaongea kama umefungwa Tape

12.Kila siku Kulalamika mke /mme mchafu ..umechukua jukumu gani la kurekebisha matatizo?

13. Kujisifia sifia ooh mimi ikawa vile matendo zero….
14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.
21. Uliponiaga unakwenda kusalimia kwenu, nilipotoka kanisani nikakuona umekaa kibarazani kwenye nyumba
uliyompangishia bibi mdogo huku umepakata katoto kachanga.

Tunaendelea....... thanx Madame B and Mamndenyi
weekend njema

Last edited by a moderator:
...mmmm!....ulilala wapi mrembo wewe?....njoo weekend nikupe liwazo maana inaonekana una stress...
 
Hizi thread za kurushwa asubuhi asubuhi hizi......
Haya mama tutajirekebisha.
 
teh!,teh!,teh!....Mkubwa!usiogope mrembo FirstLady njoo upate vitu ambavyo hujawai kupewa,weekend ndefu ujue,njoo tu wala huta jutia..

harafu weye vitu gani na umri huu ambavyo sijawahi kupewa zaidi ya marudio ..? Ruhazwe JR Kweli JF ina mambo. harafu wewe usijenifanya nipigwe mawe njiani..Ngoja waje wahusika
 
Last edited by a moderator:
Firstlady1 na hizi je:
14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.

....NAJUUUTA KUWA MKEO...!!!
Kwanza mahari hujamaliza kulipa.
 
21. Uliponiaga unakwenda kusalimia kwenu, nilipotoka kanisani nikakuona umekaa kibarazani kwenye nyumba
uliyompangishia bibi mdogo huku umepakata katoto kachanga.
 
Back
Top Bottom