Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

Yamekukuta nini? Kwa nini unatoa ushauri kwa wanaume juu ya wanawake walioolewa na sio kwa wanawake juu ya wanaume waliooa?
 
Yamekukuta nini? Kwa nini unatoa ushauri kwa wanaume juu ya wanawake walioolewa na sio kwa wanawake juu ya wanaume waliooa?
Ni kama vile nayaona, unamsaidia mtu kwa nia njema lakini inafika hatua unaona kama analazimisha akulipe fadhila, na hakuna fadhila nyingine zaidi ya tunda,

Ama kwa kwanini sijazungumzia wanaume waliooa wanaofanyiwa mema,
1. Mwanaume alieoa akifanyiwa wema na mwanamke, yeye ndio anapokea, so kama akiamua amlipe fadhila kwa kumuoa sawa
 
Kwani kuwa mke kuna maana gani?
Mambo matatu
1. Kumheshimu na kumtunzia mali na heshima yake, akiwa karibu na asipokua karibu
  • ukitoa tunda nje umemvunjia heshima
  • ukitoa siri za ndani kwa wasio husika
  • ukieleza shida kwa watu wengine badala yake
  • ukiacha watoto wachafu ukaenda kwa nabii na mtume au kwenye mambo yako
  • ukiondoka bila kuaga
N.k
2. Ukielekezwa katika jambo la kheri unafata

3. ,,,,
4…..
 
Jichanganue uone. Uyo gent yupo kimkakati akishakugonga haumuoni tena
 
Kabla sijaendelea kucomment naomba nijue maana ya neno Tashwishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…