Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.

Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.

Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi

Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.

Mbalance shobo na wake za watu.
Yamekukuta nini? Kwa nini unatoa ushauri kwa wanaume juu ya wanawake walioolewa na sio kwa wanawake juu ya wanaume waliooa?
 
Yamekukuta nini? Kwa nini unatoa ushauri kwa wanaume juu ya wanawake walioolewa na sio kwa wanawake juu ya wanaume waliooa?
Ni kama vile nayaona, unamsaidia mtu kwa nia njema lakini inafika hatua unaona kama analazimisha akulipe fadhila, na hakuna fadhila nyingine zaidi ya tunda,

Ama kwa kwanini sijazungumzia wanaume waliooa wanaofanyiwa mema,
1. Mwanaume alieoa akifanyiwa wema na mwanamke, yeye ndio anapokea, so kama akiamua amlipe fadhila kwa kumuoa sawa
 
Kwani kuwa mke kuna maana gani?
Mambo matatu
1. Kumheshimu na kumtunzia mali na heshima yake, akiwa karibu na asipokua karibu
  • ukitoa tunda nje umemvunjia heshima
  • ukitoa siri za ndani kwa wasio husika
  • ukieleza shida kwa watu wengine badala yake
  • ukiacha watoto wachafu ukaenda kwa nabii na mtume au kwenye mambo yako
  • ukiondoka bila kuaga
N.k
2. Ukielekezwa katika jambo la kheri unafata

3. ,,,,
4…..
 
Waacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.

Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.
Jichanganue uone. Uyo gent yupo kimkakati akishakugonga haumuoni tena
 
Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri.

Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni.

Mfano:
Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe kumjulia hali basi, usianza mara stori nyingi kufanya unamjali sana, huenda mume wake hajafika viwango hivyo, utaleta tashwishi

Umsaidie mke wa mtu kwa kiwango ambocho ni cha lazima sio kujifanya unaenda extra miles, mwisho wa siku mke wa mtu atawaza kuwa anawish angepata mtu 'kama wewe'.

Mbalance shobo na wake za watu.
Kabla sijaendelea kucomment naomba nijue maana ya neno Tashwishi...
 
Back
Top Bottom