Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

Kweli tuko tofauti sana. Wenzako tunawaza namna gani tupate pesa wewe unawaza kuwashaur wanawake wawakatae wanaume wasiokua na pesa.
 
Usianze kulazimisha kuolewa na yoyote umri ukianza kukukimbia, play your cards right.
 
Hela huisha, upendo wa kweli hudumu milele!!!

Siio kila penye hela kuna furaha!!
Anatafuta umaarufu kwa kiki hiyo mjinga huyo hela ndo maisha halisi ya mtu? Yaani kuna watu hawajielewi na kamwe hawatajielewa mpaka kiama wallah
 
Ila umesahau kuwa wanawake wenzio siku hizi wanahitaji zaidi masshine wengi wao wanatafuta mwanaume wa kuwapiga mashine na wengi wao siku hizi ndio wanalipia kila kitu.
 
Anatafuta umaarufu kwa kiki hiyo mjinga huyo hela ndo maisha halisi ya mtu? Yaani kuna watu hawajielewi na kamwe hawatajielewa mpaka kiama wallah
Ndo wanaume wa karne hii Mkuu
 
Yani huyu Dada kajiunga JeiEfu Siku mbili kabla ya Babu Seya kutoka gerezani ili aje aponde wanaume masikini hehehehehehee,utulinde eeh Mungu wanaume ni endangered species sikuizi
 
Hio tabia yako binafsi, usiwajumuishe na wengine.
 
We muombe helo boyfriend wako mkuu.
Hizo habari zingine tuachie wanaume tufanye yetu, Kama ingekua mapenzi ni pesa basis hata wanyama wasingekua na wapenzi maana wanayama hawana pesa.

Mpenzi wangu akiniomba pesa kwa mahitaji na iko ndani ya uwezo wangu kwani ntashindwa kumpa? au nisipokua nayo ndio unamshauri aniache?

Una frustrations zako
Utakua umeachwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…