Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Inasikitisha sana...Zama hizi ni za Toa kitu upate kitu.. Ukipewa ukazingua unaachwa kwenye mataa ni wachache sana wenye mioyo ya utoaji tuuuuu nae inafika wakati anachoka
Kwa wanaume wanaojua kusugua ila penniless pia wana ki bahati fulani....
Kwa wenye vyote mipesa na mshipa napo baadhi yao wanawake kazi tunayo foleni kama walimu wakiwa atm tarehe za mshahara
Cc Smart911