Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

Zama hizi ni za Toa kitu upate kitu.. Ukipewa ukazingua unaachwa kwenye mataa ni wachache sana wenye mioyo ya utoaji tuuuuu nae inafika wakati anachoka
Kwa wanaume wanaojua kusugua ila penniless pia wana ki bahati fulani....

Kwa wenye vyote mipesa na mshipa napo baadhi yao wanawake kazi tunayo foleni kama walimu wakiwa atm tarehe za mshahara

Cc Smart911
Inasikitisha sana...
 
Kwa maana hiii ule msema wa "To every successful man, there is a strong woman behind" hauna maana...

Hapa si unawafundisha wanawake kudandia wanaume wa wenzao ambao tayari wameshafanikiwa...

Ni kuishi vile upendavyo wewe na siyo watakavyo watu...

Cc: mahondaw
 
Kumekuwa na trend ya wanaume tukilalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanatuomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!!

Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo kwa sasa ni ujinga kwa sababu tafiti zinaonesha wanaume wengi 3/4 ya waliokuwa maskini siku wakizipata lazima wabadili wanawake na hata wasipobadili basi wanaanza kuwa wasaliti na wasumbufu!

Sasa kwanini mdada ujitese na umaskini wa mtu wakati siku akizipata lazima zitakuja na misukosuko katika mahusiano yenu!!

Wanaume tuwe wakweli hapa wala tusidanganyane wakati ukiwa huna uwezo huwa kuna vitu vingi sana huwa unavitaman Especially wanawake wazuri(hata kama wa kwako ni mzuri ila bado utakuwa unatama wanaopendeza huku ukitumia msemo wa wenye pesa wanafaidi) iv unadhan siku ukizipata hutajaribu kufaidi?

Nawashaur wanawake ombeni pesa na achaneni na wanaume maskini kwa kisingizio cha kuvumilia

Mwanaume haturidhiki

Nakaribisha Mapovu.
Zilipemdwa
 
Wewe ni ke?? Tafiti zaidi zinazidi kuonesha wanawake wanaoolewa wa wanaume wenye pesa hunyanyasika zaidi na kuishi kama watumwa.
 
ALIYEANZISHA HII MADA ANASHIDWA KUELEWA DOUBLE STANDARDS KATIKA MAPENZI YA MWANAUME NA MWANAMKE NI NANI ALIYEPENDA NA NI NANI ALIYEPEDWA ?

IKITOKEA MWANAUME NDIO KAMPENDA MWANAMKE BASI ITAMLAZIMU MWANAUME AISHI APENDAVYO MWANAMKE......

LAKINI KAMA MWANAMKE NDIO KAPENDA BASI INABIDI AISHI ANAVYOTAKA MWANAUME........

KWA MFANO MIMI NINA KIDEMU CHANGU CHENYEWE NDIO KILINISHOBIKEA KIKAJIFANYA KINANIPENDA BASI MIMI KAZI YANGU NI KUKIPIGA JUJU SIMPI HATA HELA SI KANIPENDA MWENYEWE
SASA NIMPE HELA ILI IWEJE MIMI KAZI YANGU NI KUPIGA DUDU SI KANIPENDA MWENYEWE

HIVYO HIVYO NARUDI KWA MLETA MADA INAONEKANA ANAPIGWA SANA DUDU BILA KUPEWA HELA SASA HASIRA ZOTE ANAZILETA JF . . ..
 
Mmmh karne hii na kizazi hichi tutaona na kusikia mengi.Maana halisi ni kuwa kama mwanaume hana pesa basi hawezi kuwa na mwanamke aisee?!!
 
MTOA POST NI LOFA KAMA MALOFA WENGINE
post zake nyingi ujifanya yeye mjuaji sana alafu ujifanya kama si wa level hizi.nimecheki post yake moja kuhusu forex,ni kamsoma nikaona kama hana roho ya kwa nini na hii post yake ya naona rofa la zinzonye kabisa maana anajiandikia bila kutafakari
 
Back
Top Bottom