Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakuelewa ila ukishasema lipa, huo si msaada tena ni dili lako. Na dili aina hii huwa halifanyi kazi nje ya watu usiowafahamu.Msaada unakanuni zake.
Sio kila mtu ni wakusaidiwa, kasome vizuri maandiko au visa vya wahenga.
Kuna watu ukiwasaidia amini amini nakuambia umejitia kitanzi mwenyewe.
Ni kumuomba Mungu macho akuonyeshe
So rushwa inahalalishwa jukwaaniNinayo laki tano niuzie kazi ya serikali, nina bachelor ya usimamizi wa biashara ya mwaka 2017
Sitoi rushwa, nakupa takrima na shukrani, hivyo hata wachungaji na mashehe huchukua ki roho safiSo rushwa inahalalishwa jukwaani
Usiache kutenda wema kwa sababu tu watu wengi wamekengeuka at the end of the day na wewe pia unategemea wema wa mtu somewhere kwa kujua au kutokujua in your progress tunaishi kwenye ulimwenge mdogo sana so possibility ya kukutana mara nyingi ni kubwa mno what if leo umeniuzia kaz kesho na kesho kutwa nimekua boss namuomba unyumba bint yako ili nimpe kaz maana hela ya kunipa hana.
Ukiwa juu jaribu kuwaza kama uko chini ungependa utendewe nin
Watu hawapendi ukweli. Hasa watu waovu
Naunga mkono hoja.
Kuna jamaa nimemuunga kazi kutoka mavumbini sasa anataka ale sahani moja na Mimi kwenye kila dili kazini kwetu.
Najuta kumuunga, bora ningeiuza tu heshima ingekuwepo.
Tuwe kama polisi tu,kama ana ndugu ana msala anampasia mwana wale hela bila kinyongo
So rushwa inahalalishwa jukwaani
Izidishe mara kumi kisha uje hapa.Ninayo laki tano niuzie kazi ya serikali, nina bachelor ya usimamizi wa biashara ya mwaka 2017
Mkuu nakuelewa ila ukishasema lipa, huo si msaada tena ni dili lako. Na dili aina hii huwa halifanyi kazi nje ya watu usiowafahamu.
Kwa watu mlio na mahusiano kusaidiana kupo hivi:
Win-Win: Hawa unawasaidia lakini kuna siku watakusaidia sababu mpo kwenye circle moja, au huenda walishakusaidia na sasa ni wakati wako kuwasaidia. Watu wa aina hii mara nyingi hamtofautiani sana kiuwezo. Kwann umlipishe wakati unajua kuna siku utaugonga mlango wake?
Lose-Win: Hawa ni ndugu, wapenzi, marafiki wa kushibana. Unasomesha mtoto wa shangazi unajua kabisa hakuna utakalopata. Unamtafutia mpenzi kazi ukijua akishaipata ndo basi umempoteza na still unamtaftia n.k. Huyu kumlipisha huwezi sababu wanakuwa hawapo kwenye nafasi ya kulipa unless unajua pesa zipo utumie uwongo maana ukisema ukweli kuwa nataka unilipe hiyo taarifa inabaki kwenye rekodi zake na copy zitasambazwa kwa watu wote wanaokufahamu na wasiokufahamu. Kwann umlipishe? Bora uachane nae usimpe huo msaada.
Lose-Lose: Hawa ni wale wa kusaidiana ujinga. Ni common sana kwa vijana age 25-35. Mnasaidiana kwenye mambo ya kuwaumiza wote. Mfano kupeana connection za madada poa wa hadhi ya juu kama wasanii wale pesa zenu, kushauriana kumiliki gari zisizoendana na kipato n.k. Na huwa mnaona mmeshibana kweli. Na mnasaidiana bure. Hamlipishani ila mnapotezana.
Mkuu kazi za sales ni nyingi sanaNiuzieni connection ya kazi Nina bachelor ya lishe, pia ninauzoefu wa sales and marketing
Andika vizuriNa kubali Kweli Hakuna Kaz za bure connect inamata na yupi akupe hyo kazi
Iko HV Kuna jmaaa alichukuwa hell zangu akiniahidi kunipa kazi bonite ya area sales manager akanipanga nikapangika ajabu hela kala Hakuna pesa nikaona huyu anannichezeaa nikamtokeaa asbh sna analeta ujinga nikamtokeaa usku Tena akaleta ujinga nikaona huyo anannichezeaa siku mojaa nikamuibukiaa usku nikamuambia leo tutalal na mkeo na na Kama hell zipati Basi tutagawwna majengo ya serekali mbna walipa changu