Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

Miaka 21 bado mdogo sana na hapo alipo hajali chochote kuhusu kitu kinachoitwa ndoa coz anajiona bado mdogo na ataolewa muda wowote, hata sex craving yake iko juu sana kuliko wewe so shukuru Mungu umejua mapema hayo mambo coz ungejua wakati mko ndani ya ndoa uchungu ungekua mara mbili ya huo unaouskia sasa kwa maana inaonekana na iko wazi kwamba unampenda sana huyo dada so nae anacheza na akili zako coz anajua kwake uchomoki.

Ukiona umeshindwa mvumilie vumilie angalau afikishe 30 yrs akili ndio itaanza kumkaa sawa na hapo ukiweka ndani atatulia maana huo umri ndio wadada wengi wakiufikia ilihali hawajaolewa huwa wanapanic na wanapitaga na yeyote anaepita mbele yao ilimradi atangaze ndoa tu.
 
Huyo jamaa ni mstaarabu sana,mshukuru aisee
Ila nawe acha UJINGA sasa,yaani una miaka 27,unataka uoe single mother,umelogwa au kichaa?
Sema JF user name yako inasadiki yanayokutokea kwenye mapenzi
 
Huyo jamaa ni mstaarabu sana,mshukuru aisee
Ila nawe acha UJINGA sasa,yaani una miaka 27,unataka uoe single mother,umelogwa au kichaa?
Sema JF user name yako inasadiki yanayokutokea kwenye mapenzi
Hah kupenda tu mkuu
 
Asante sana.
 
Kumvumilia tena hapo ni uongo.
 
Unasubiria magonjwa au kipi?
Mwanaume au mwanamke wako akikusaliti mara moja achana naye.!!
Msaliti hapewi nafasi ya kujitetea wala ya kusamehewa..!!
 
Usharogwa tyr 😃😃😃
 
Unasubiria magonjwa au kipi?
Mwanaume au mwanamke wako akikusaliti mara moja achana naye.!!
Msaliti hapewi nafasi ya kujitetea wala ya kusamehewa..!!
Nimekuelewa dada,nilifanya makosa kumsamehe mara ya 1 lkn nilimsamh kwakua sikua na uhakika wa 100 % kama amesalt.
 
""Nia na madhumuni yako..
Nimeshavitambua siwema dada....
Siwema dada aaaaah aaaaah aaaah

Unajitapaa mbele ya rafiki zako kwamba mimi sina la kusema mbele yako.
Umeniweka kwenye kiganja mamaaaa...........""""
Nimezungukaaaaaaaaaa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…