Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
- #121
Hahaa vp mkuuKijana mwenzenu anasema "...bado hata matanga hayajaanuliwa" Aseee 😃!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa vp mkuuKijana mwenzenu anasema "...bado hata matanga hayajaanuliwa" Aseee 😃!.
Sawasawq mkuuHajui kuandika, achana nae.
Kwahyo mtu anaweza piga show ya uhakika ila bado akaachwa??Humtunzi,unapiga shoo tu na vielfu kumi vyako mtu anamtoto kwa hali hii aolewe tu na jibaba lenye pesa sio yeye tu atakucheat,kila mtu ambaye utakuwa naye maana matunzo ni hafifu kwako.
Kama umeshindwa kuhudumia huyu je mwingine shoo sio i shu inshu hela
Imebaki stor mzee. ,, yan kwel mschn anatoka na mtu na watu wanajua alafu niendelee nae,wat wataniona poyoyoNakuona kabisa huna ubavu wa kumuacha!!
NdiioiKwahyo mtu anaweza piga show ya uhakika ila bado akaachwa??
SawqNdiioi
Sawasawa mkuuMwanamke hasamehewi, mwanamke anaachwa
Kivipi mkuuKumbe una miaka 27.
Ulichokiandika ni sahihi kabisa na umri wako.
Mkuu kvp nlkua mlalamishi??Tatizo kubwa ushalionesha, wewe ni mlalamishi mno! Huwezi kuwa na maamuzi yako binafsi leo wala kesho. Subiri ulimwengu ukufunze kwanza.
Nilifahqm kablaJe ulifahamu baada au kabla hata ya kuanza mahusiano?,
Muda wako utafika na uteelewa kuhusu hawa viumbe wanawakeKivipi mkuu
Sawasawa mkuu.Muda wako utafika na uteelewa kuhusu hawa viumbe wanawake
KabisaaKimbiaaa