Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

Wanawake jamani😂😂🫴🫴
 
mtoto kautaka
 
Kwa umri wako unapata wapi ujasiri wa kuoa single mama?
 
Pole
Pole sana kijana ila kwann unaruhusu hayo yatokee tambua huyo bint Bado mdogo
 
Tupe feedback
Mkuu sikurudiana nae mkuu, wanawake wapo wengi sana, ni kama baharini, ukivua samaki mmoja lakini akapokonyoka huwez kuanza kulia bali utatafuta samaki mwingine ambaye anaweza kuwa mkubwa zaidi.
 
Mkuu ushauri wa nini hapa wakati umeshaamua awe wa kuichakata hiyo Mbususu, mkuu ichakate mpaka, ichakate tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…