Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.

Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.

Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.

Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.

My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.

Don't be simp.
 
Personal experience.

Nilipokaribia kulipa mahari n kuvalisha pete, tulizozana sana na mama chanja kuhusu hili. Alikomaa sana ntwange magoti, nkamwambia, mama la mama, ntasimama dede kama mboroh ya Johnny Sins lakn magoti haipigwi. Akasema na yeye atasimama, nkamwambia heri si shari.

Siku ilipofika nlikua na anko wangu mmasai pure, akanivuta pembeni akaniambia ukipiga magoti tunakuondoa kwenye ukoo.

Nkamwambia mjomba tuliza kipele, nshafanya maamuz waaay back.

Tumefika kwenye tendo bila ajizi nkakaza spinal cord, hapo hapo nkashangaa laaziz anapiga magoti mwenyewe na kutoa kidole pete iwekwe.

Hadi leo hua nashangaa wanaume au tuseme wavulana wanaopiga magoti.

Povu ruksa bladihenken!
 
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba...

Don't be simp.
Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Kumwangukia mwanamke ni jambo la aibu sana!!
Hii hawa mazwazwa wameiga kwenye Tv humo, kupiga goti huku na kurembua

Nitawakanya hata wtt wangu wasije wakawahi kukubali hiyo fedhea ya kuwa chini ya mwanamke 😁

Hata Yesu yule mama ndiye aliyempaka mafuta miguu yake, kumaanisha niko chini ya mamlaka Yako!!
 
Ni mpumbavu tu anaweza kumpigia magoti kiumbe ambaye anamlipia mahari halafu akitoka hapo anatakiwa akamilishe, kumvisha na huduma nyingine zinazohitaji pesa. Nani sasa alitakiwa kupiga goti?

Ni nadra sana utasikia mwanaume anasimangwa au kupata stress kwa kukosa ndoa. Nawasikia wanawake tu wakihangaika kutafuta ndoa wakienda kwa waganga na wengine kwa Mwamposa. Sasa wewe unapigaje goti bro wakati wao ndio huwa wanahangaika kutafuta ndoa? Acha kuongozwa na hisia. Heshimu uanaume wako.
 
Sidhani kama kuna binaadamu nitakayempigia magoti kwa jambo lolote
Especially mwanamke aisee..siwezi kujiweka chini ya mwanamke kwa lolote. Nakumbuka primary siku iyo mwalimu kakusanya madaftari halafu kaandika majibu ubaoni kagawa madaftari kwa wanafunzi tofauti tofauti tusahihishane daftari langu akampa demu nikalichukua, ticha akauliza vipi nikamwambia straight kabisa daftari langu halisahihishwi na mwanamke baada ya kubishana bishana akaamua kunisahishia yeye mwenyewe.
 
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.

Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.

Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.

Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.

My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.

Don't be simp.
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom