Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.

Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.

Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.

Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.

My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.

Don't be simp.
Akishapatikana chamoto atakiona atafidia magoti yaliyopigwa
 
Hiki nalo lishaanza kutokea wanawake wanatafuta wakuwaoa uku hatuonekani🤣🤣🤣tutaelewana uterezi saiv wanaforce tu
 
Back
Top Bottom