Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Comments kutoka kwa KEKupiga magoti ni mapenzi tu ya mtu kwa mtu wala haina maana it come naturaallyyyy😍
hatariMtu aliyepevuka akili kufanya jambo lisilo na maana mbele ya kadamnasi ya watu wenye akili timamu hiyo ni dalili mojawapo ya upunguvu wa akili ama tatizo la afya ya akili
😀😀😀😀Kwahiyo unatak uniambie kuna muda utafika nitakuwa nagombaniwa na wanawake kumi
Hiz siku zifike jamani zifike🥰🥰🥰
🤤Vaibu sanaIsaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Saba, sio kumi, imeandikwa kwenye maandiko Matakatifu.(Biblia)Kwahiyo unatak uniambie kuna muda utafika nitakuwa nagombaniwa na wanawake kumi
Hiz siku zifike jamani zifike🥰🥰🥰
NAKAZIAsiwezi kujiweka chini ya mwanamke kwa lolote
Akishapatikana chamoto atakiona atafidia magoti yaliyopigwaNi upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.
Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.
Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.
Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.
My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.
Don't be simp.
subutu! huyu tia maji tia maji tu kama mimiMkuu kazi ulipata?
😀😀😀 kijana anataka kuleta janja janjaSaba, sio kumi, imeandikwa kwenye maandiko Matakatifu.(Biblia)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mi siwezi kubali mwanaume anipigie goti kwanza wanyakyusa hawawezi kubali
Hiki nalo lishaanza kutokea wanawake wanatafuta wakuwaoa uku hatuonekani🤣🤣🤣tutaelewana uterezi saiv wanaforce tuNi upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.
Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.
Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.
Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.
My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.
Don't be simp.
Marriage is liability and a trap to men. Vijana tushashtuka saiv ni mwendo wa hit and run tu.Hiki nalo lishaanza kutokea wanawake wanatafuta wakuwaoa uku hatuonekani🤣🤣🤣tutaelewana uterezi saiv wanaforce tu