Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Sijapinga kupiga goti kwenye mambo mengine kama ni utamaduni wao.
SIdhani kama hayo makabila uliyoyataja wana utamaduni wa kuvishana pete tena kwa kupiga goti.
Ninachosema ni kwamba kuvishana pete kwa kupiga goto mwanaume ni utamaduni wa kizungu..sisi tunaiga halafu tunakuja kulazimisha mwanamke apige goti.

KUvalishana pete kwa kupiga goti ni utamaduni wa mzungu na utaendelea kuwa hivyo. Sisi tuache kuiga.

Mimi mchaga sijawahi fundishwa kupiga goti popote pale. Na haitatokea nikapiga goti hasa kwa mwanaume ninae mvulia chupi.
Labda mzazi...
Nimependa hicho kipande cha mwisho uliposema hasa mwanaume ninae mvunini nini sijui na nini nini vile pale [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nimependa hicho kipande cha mwisho uliposema hasa mwanaume ninae mvunini nini sijui na nini nini vile pale [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Acha hizo 😅
 
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.

Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.

My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.
Sasa magoti unapiga ya nini mbwa wewe!?
Umemkuta na usichana?
Mtu aliishatiwa mbele, nyuma na vijana, vikongwe.
 
Mimi nilishawahi kuondoka kwenye party ya engagement baada ya kuona jamaa kapiga goti. Sikuweza kuendelea kuwepo pale maana niliona wanaume tumedhalilishwa
Kuna mpuuzi mwana tulimpa escort ya engagement ila tulimpa onyo mapema kuwa akipiga goti tuu tutaondoka na hatutashiriki mchakato mzima wa harusi yake. Eee jamaa sijui lilishwa nini na demu,si likapiga goti bana tukasepa pale pale.
 
Alifikiri mnamtania
 
Especially mwanamke aisee..siwezi kujiweka chini ya mwanamke kwa lolote. Nakumbuka primary siku iyo mwalimu kakusanya madaftari halafu kaandika majibu ubaoni kagawa madaftari kwa wanafunzi tofauti tofauti tusahihishane daftari langu akampa demu nikalichukua, ticha akauliza vipi nikamwambia straight kabisa daftari langu halisahihishwi na mwanamke baada ya kubishana bishana akaamua kunisahishia yeye mwenyewe.
Je mwalimu angekuwa wa kike, ngempokonya daftari?
 
Sijakataa kwamba kupiga goti ni kuonyesha utii. Pia ni kwa baadhi ya mila ndo ipo hivyo..
Kwa sisi wachaga hakuna mahali mwanamke anapiga goti...na wala haifundishwi hivyo.
Unakabidhi cake huku umesimama kama mlingoti😅.

Nilichotaka kusema ni kwamba, tuache kuiga mila za wazungu halafu tunakuja kulumbana wenyewe kwamba sio sawa. Kwao ni sawa na tuache iwe hivyo. Sisi tufanye ya kwetu kama mila zetu zinavyosema

Sijakataa kwamba kupiga goti ni kuonyesha utii. Pia ni kwa baadhi ya mila ndo ipo hivyo..
Kwa sisi wachaga hakuna mahali mwanamke anapiga goti...na wala haifundishwi hivyo.
Unakabidhi cake huku umesimama kama mlingoti😅.

Nilichotaka kusema ni kwamba, tuache kuiga mila za wazungu halafu tunakuja kulumbana wenyewe kwamba sio sawa. Kwao ni sawa na tuache iwe hivyo. Sisi tufanye ya kwetu kama mila zetu zinavyosema.
Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ndo wanaongoza kwa kuwa na nidhamu mbovu kwa wanaume nadhani dunia nzima.
 
Sijapinga kupiga goti kwenye mambo mengine kama ni utamaduni wao.
SIdhani kama hayo makabila uliyoyataja wana utamaduni wa kuvishana pete tena kwa kupiga goti.
Ninachosema ni kwamba kuvishana pete kwa kupiga goto mwanaume ni utamaduni wa kizungu..sisi tunaiga halafu tunakuja kulazimisha mwanamke apige goti.

KUvalishana pete kwa kupiga goti ni utamaduni wa mzungu na utaendelea kuwa hivyo. Sisi tuache kuiga.

Mimi mchaga sijawahi fundishwa kupiga goti popote pale. Na haitatokea nikapiga goti hasa kwa mwanaume ninae mvulia chupi.
Labda mzazi...
Utakufa ukiwa single mother shauri yako.
 
Kuna mpuuzi mwana tulimpa escort ya engagement ila tulimpa onyo mapema kuwa akipiga goti tuu tutaondoka na hatutashiriki mchakato mzima wa harusi yake. Eee jamaa sijui lilishwa nini na demu,si likapiga goti bana tukasepa pale pale.
Ikawaje baada ya hapo, sherehe iliendelea?
 
Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.

Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.

Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.

Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.

My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.

Don't be simp.
Ndiooooo kweliiiiii aseee ujinga sitakiii mtoto wangu akifanya ujinga huo tajutaa
 
Kwa kweli Wanawake wa Kiafrika hawana cha ku offer kwenye ndoa zaidi ya uke.
Ni gharama sana kuishi na Mwanamke wa kiafrika,hata akiwa anaingiza kipato bado kipato chake hakina msaada kwenye familia.
Halafu bora asiwe na kipato maana akiwa na kipato ndio anakuwa mjinga zaidi atanunua sindano na cream za kukuza makalio mixer kununua vinguo vya kuwaattract wala tigo wenye pesa nyingi hapo ndipo wewe utaanza kufa kwa kihoro
Yatazame mahusiano ukiwa umekaa mbali na uelewe dhima za wanawake kwenye mahusiano ya mwanaume hautokaa ujute kamwe. Ishi kama mimi broo usiweke ukaribu na mwanamke yeyote yule kasoro ndugu au mama yako na binti yako tu.
Mwanamke akikuomba pesa muulize sh ngapi unataka?
Akisema laki mbili mwambie nilicho nacho hapa ni 30k yaani taja ile ambayo utaaford kuloose akisema nipe hata hiyo hiyo mmpe 40 mwambie hiyo kumi ni tuanenda kutafuta chumba guest cha hiyo ten
Usiogope kuhusu reaction yake. Akikuuliza yaani kisa 30k unataka ukanilale muulize kwani wewe umeibrand ili iliwe kwa bei gan? Utashangaa anakurudisha pale pale kwenye laki mbili which means hana shida na hiyo pesa bali ni bei aliyopanga kukuuzia K*ma.
 
Back
Top Bottom