Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu hilo halina shida kabisa, abonyee au asibonyee ni maamuzi yake shem.Shem singidani na magoti wapi na wapi? si mwanamke wala mwanaume anayepiga goti.
Mtasimama tu mkivalishana shem, sana sana ke atabonyea kidogo….. kidogo sana. au asimame tu na yeye.
Hakuna mahali nimebisha. Ninachosema ni kwamba mtindo wa kuvalishana pete..tena wa kupiga magoti sio wa kwetu bali ni wa wazungu. Tuwaachie utamaduni wao kama tunaona haupo sawa...sio kuanza kubishana nani apige goti na nani asipige.Hakuna makubaliano kwenye suala la utiifu, from the first place mwanamke ndie anatakiwa kuwa submissive kwa mwanaume
Mada haihusiani na mambo ya utamaduni mada inahusiana na tukio lenyewe la kuvalishana pete.Hakuna mahali nimebisha. Ninachosema ni kwamba mtindo wa kuvalishana pete..tena wa kupiga magoti sio wa kwetu bali ni wa wazungu. Tuwaachie utamaduni wao kama tunaona haupo sawa...sio kuanza kubishana nani apige goti na nani asipige.
Mimi kwenye group la whatsapp nilimchana live kabisa ndugu yangu ambae alikua anatarajia kwenda kuchumbia, nikamwambia ukipiga goti tunakutenga kwenye ukoo.niliwahi muambia kijana wangu mmoja marufuku kupiga goti. ukijapiga goti nitakuzingua sana
somo alilielewa
99% benefits za maisha ya mwanamke zinapatikana katika mahusiano ya ndoa. 100% ya benefits za kimafanikio za mwanaume anapata nje ya ndoa.Ni mpumbavu tu anaweza kumpigia magoti kiumbe ambaye anamlipia mahari halafu akitoka hapo anatakiwa akamilishe, kumvisha na huduma nyingine zinazohitaji pesa. Nani sasa alitakiwa kupiga goti?
Ni nadra sana utasikia mwanaume anasimangwa au kupata stress kwa kukosa ndoa. Nawasikia wanawake tu wakihangaika kutafuta ndoa wakienda kwa waganga na wengine kwa Mwamposa. Sasa wewe unapigaje goti bro wakati wao ndio huwa wanahangaika kutafuta ndoa? Acha kuongozwa na hisia. Heshimu uanaume wako.
Huko USA na UK ambapo harakati za kumkomboa mwanamke zimeanza hali si shwari kama huku tu.Kwa kweli Wanawake wa Kiafrika hawana cha ku offer kwenye ndoa zaidi ya uke.
Ni gharama sana kuishi na Mwanamke wa kiafrika,hata akiwa anaingiza kipato bado kipato chake hakina msaada kwenye familia.
Ukifanya lile tendo mwanamke unampa ishara ya kumuabudu na kumtukuza na ndio maana wanawake waliopigiwa magoti huwa wanawapelekeshwa sana na wanawake zao.Huwaga nachukia hichi kitendo hadi mwili huwa unasisimka naona aibu nikiona dume zima limechchuchuma eti linamvisha Pete mwanamke, huwa natama nikamnase kibao, yaani hichi kizazi cha Gen-z bwana daaah!
Kwa wasukuma,wasafwa,wanyakyusa,wandali,wanyiha,waha,wajaluo,wajita,wakurya utapiga goti mama utake usitake ni utamaduni wao wanidhamu wala sio wa kuiga.Sijakataa kwamba kupiga goti ni kuonyesha utii. Pia ni kwa baadhi ya mila ndo ipo hivyo..
Kwa sisi wachaga hakuna mahali mwanamke anapiga goti...na wala haifundishwi hivyo.
Unakabidhi cake huku umesimama kama mlingoti[emoji28].
Nilichotaka kusema ni kwamba, tuache kuiga mila za wazungu halafu tunakuja kulumbana wenyewe kwamba sio sawa. Kwao ni sawa na tuache iwe hivyo. Sisi tufanye ya kwetu kama mila zetu zinavyosema.
Watoto wa singida mnakuwaga watamu sana. Piga magoti kuongeza utamu wako kwa mwanaume.Shem singidani na magoti wapi na wapi? si mwanamke wala mwanaume anayepiga goti.
Mtasimama tu mkivalishana shem, sana sana ke atabonyea kidogo….. kidogo sana. au asimame tu na yeye.
Sisi kwetu unavalishwa tairi la gari kumaanisha kazi imeanza.Mambo ya kuvishana pete sio ya kwetu. Tuachane nayo..
Kama wamasai mdada anavalishwa bangili
Mseme, amezidi sana huyo.raraa reree kwanini unapenda ku like kuliko kucomment?
Miaka ya 1980s & 1990s wanaume walikuwa hawapigi mogoti hovyo. Lakini hiki kizazi cha zedi, yaani Gen Z imekuwa ndiyo kama "fashion" na wengi hata hubwaga machozi.Personal experience.
Nilipokaribia kulipa mahari n kuvalisha pete, tulizozana sana na mama chanja kuhusu hili. Alikomaa sana ntwange magoti, nkamwambia, mama la mama, ntasimama dede kama mboroh ya Johnny Sins lakn magoti haipigwi. Akasema na yeye atasimama, nkamwambia heri si shari.
Siku ilipofika nlikua na anko wangu mmasai pure, akanivuta pembeni akaniambia ukipiga magoti tunakuondoa kwenye ukoo.
Nkamwambia mjomba tuliza kipele, nshafanya maamuz waaay back.
Tumefika kwenye tendo bila ajizi nkakaza spinal cord, hapo hapo nkashangaa laaziz anapiga magoti mwenyewe na kutoa kidole pete iwekwe.
Hadi leo hua nashangaa wanaume au tuseme wavulana wanaopiga magoti.
Povu ruksa bladihenken!
Mbona maustadhi kibao wanavisha pete now days kwenye engagement ceremonies wanazoandaa.Title ilitakiwa iwe
Enyi ndugu zangu wakristo usipige goti wakati wa kumvisha pete mwanamke.
Mimi kama mtu mzima mwenzako nimekuelewa vizuri sana. Watu wazima huwa tunaona suluhu ya mambo mapema sana bila kugombana wala kuleta tafrani.Hakuna mahali nimebisha. Ninachosema ni kwamba mtindo wa kuvalishana pete..tena wa kupiga magoti sio wa kwetu bali ni wa wazungu. Tuwaachie utamaduni wao kama tunaona haupo sawa...sio kuanza kubishana nani apige goti na nani asipige.
Hii ni hoja ya msingi sana. Vijana wengi huwa wanafuata tu tabia za kuigaiga mitandaoni kwa trends na wasione madhara yake.Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.
Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.
Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.
Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.
My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.
Don't be simp.
Sijapinga kupiga goti kwenye mambo mengine kama ni utamaduni wao.Kwa wasukuma,wasafwa,wanyakyusa,wandali,wanyiha,waha,wajaluo,wajita,wakurya utapiga goti mama utake usitake ni utamaduni wao wanidhamu wala sio wa kuiga.
Na kwann usite kupiga magoti wakati ni kitendo cha kutii na kumpa heshima yake mwanaume ambaye utataka awe juu yako kukushika kwenye haya maisha? [emoji848]
😅😅😅 hiyo imekaa vizuri. Sasa mvalishe tairi ya gari angalau uwe na IST, sio hata baiskeli hunaSisi kwetu unavalishwa tairi la gari kumaanisha kazi imeanza.