Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Yaan kumbe mpaka Leo watu hamjui tofauti ya mapenzi,upumbavu na heshima Kwa yule unaye taka awe chanzo Cha uhai wa watoto wako🤦..kupiga goti Haina maana ya kwamba utapungua umri au utu wako Kwa aina yoyote 😂 mbna tushatoka kweny hii mifumo Dunia na potofuu ya kujiona cake kuliko mwenza wako🙌
 
Mpo ktk mfumo gani huo saiv🤔
 
Mkuu mimi SIKUPINGI, sio mpenz sana wa KU-COMMENT ila unanifanya nifanye hv coz una NONDO POSITIVE.

Barikiwa sana mkuu, wewe ni wapeponi. [emoji2969][emoji2969]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…