masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
matako yakokuna mtu alishaandika hivyo humu si mda
kwa kweli na mimi leo nakiri
yote hayo kwenye heading nayafanya
and i have come to this conclusion .....itss very hard kunyooka.
cha kwanza
sitaongelea gym
ila naongeleaeo kupost
binafsi sikua na any profile ya jina langu wala picha zangu popote pale social media(hadi sasa sina jina langu in any social media) nina account za biashara tu
so this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni
napostig tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu
napataga dm ila hazishtui nazi ignore
jamani leo nimepata dm moja hivi
duuuh mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee
mkaka amenyooka yaani 10/10
alafu ni one of the big boys Africa
ila mtanzania
kwa kweli sikuwahi kumjua...am not soo much into social media zaidi ya jf
so ikabidi nimchek ..deep search huko google..mamaaa... A list kabisa
afu cha mwisho kabisa
Ana hela ...kwa anachofanya sikua tu namjua
please there is always a bigger fish....hata mkeo umfanyie nini
honga uwezavyo....kuna mtu mtu atakuzidia sehemu
hata kama mkeo kanyooka vip
vitu vingine unanasa
nashukuru Mungu nilishasema siwezi ishi na guilty ya kucheat....
bora ugali dagaaa kwenye amani
kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana🤣🤣🤣🤣
Sjasoma uzi wake lakn NAKAZIAmatako yako
naaamThe Icebreaker nakuita katika Uzi huu.
sijawah cheat
"Ni Swala La Muda,,,Jagina Lazima Itachezeshwa Makida Makidaa Tu...""
hahhahah sasa mimi nimefanyaje jamanimatako yako
Umelewa?sijawah cheat
na sitakaaa na siwezi
Tangazo lake limeeleweka japo kazunguka sana,The Icebreaker nakuita katika Uzi huu.
ila wanawake wenzio unawafanyizia sio?sijawah cheat
na sitakaaa na siwezi
Asante kwa kunifafanulia lengu la mleta mada. Sasa kazi ni kwangu.Tangazo lake limeeleweka japo kazunguka sana,
Aweke tu bei ya huduma ila wahitaji wazame PM.
Hii ni kweli kabisa mzee ni suala la muda tu mwanamke hata umpe nini atakuchet hata na mfanyakazi wako waWanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.
Utakaza weeeeeeee, Ila n suala la muda tuu, utaliwa.
Ujumbe mzuri , Mwanamke wa kujipost post hovyo mimi simuwezi .Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.
Kwa kweli na mimi leo nakiri...
Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.
Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.
Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.
So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.
Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.
Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Halafu ni mmoja wa big boys Africa.
Ila ni Mtanzania.
Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.
Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...
Mamaaa! A-list kabisa.
Cha mwisho kabisa...
Ana hela.
Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.
Please, there is always a bigger fish...
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.
Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.
Bora ugali dagaa kwenye amani.
Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Pia, nawe usifanye haya unayomkataza mkeo.Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Na ukiona mwanamke Ana post sana status au picha zake za zamani jua kagawa namba tayari yuko sokoUjumbe mzuri , Mwanamke wa kujipost post hovyo mimi simuwezi .
Nataka Mwanamke material ya Kijijini Hana mambo mengi na utoto wa kujipost mitandaoni kama Dada yake loose Nut