Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Ujumbe mzuri , Mwanamke wa kujipost post hovyo mimi simuwezi .

Nataka Mwanamke material ya Kijijini Hana mambo mengi na utoto wa kujipost mitandaoni kama Dada yake loose Nut
Screenshot_20260630_174537_Instagram.jpg

MamaSamia2025
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Mimi ni kama ndembele tu mke wangu anaonekana siku za matukio maalumu. Nitammiliki na kumlinda kama almasi. Yoyote atakaye onesha dalili za kummezea mate ni risasi tu
 
Mimi ni kama ndembele tu mke wangu anaonekana siku za matukio maalumu. Nitammiliki na kumlinda kama almasi. Yoyote atakaye onesha dalili za kummezea mate ni risasi tu
Sasa wewe ikiwa Mbu tu anakupa msongo wa mawazo,utaweza kumpiga risasi nani?

JF VAR CHECK

Sasa wewe ikiwa Mbu tu anakupa msongo wa mawazo,utaweza kumpiga risasi nani?

JF VAR CHECK

Sasa kama msongo ni wa mbu binadamu Je?
 
Sijui nilitaka kusemeje? Any way Kuna content creator ana msimamia demu wake kwenye mbanga za content, juzi kati kashangaa demu wake akatumiwa milioni nane na mwana, akashangaa demu anatumiwaje pesa ilihali yeye ndo meneja na ndie mwenye mamlaka za kupokea pesa za demu wake KIKAZI yani official.

Mwingine nae ni content creator akahaidiwa milioni kumi na tano na mchimba madini wa kahama, ikaleta shida Hadi kuvunjika Kwa penzi, in short ukimiliki demu mkali akawa mitandaoni lazima aliwe elewa neno kuliwa labda awe mbaya.

Wasukuma wa madini washambaa sana una hongaje demu mamilioni yote hayo na hujawahi MUONA?
 
Tayari ushakubali
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
kwenye fikra zako tayari ushampa, sasa ni yeye ajitahidi mbaki wawili tu kumalizia.
Screenshot_20260708_221519_Chrome.jpg
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Umeongea maneno meeengi lakini kwenye kipengele cha hela ukakazia kwa herufi kubwa.
Na hapo ndo ulipo udhaifu wenu wanawake.
Trust me huyo jamaa hata asipokutafuta tena, ila wewe utaendelea kuwa attention kwa kumuandikia vi meseji uchwara ili siku mambo ya shekeli yakikuendea kombo hutasita kumpiga kizinga na hapo ndo utachezea "libolo fc"
 
Ujumbe mzuri , Mwanamke wa kujipost post hovyo mimi simuwezi .

Nataka Mwanamke material ya Kijijini Hana mambo mengi na utoto wa kujipost mitandaoni kama Dada yake loose Nut
Huwa nashangaa na kustaajabu sana unamkuta Dada kaolewa lakini anajipost kwenye status whatsapp anajiimbisha nyimbo ya Diamond inaitwa Nani huku anabinua midomo sijui huwa wanakuwa wana maana gani ? Au amepika maandazi anayapost status 🤣
 
Hata awe anaSwali swala 5 akiwa Mwanamke wa kujipost haswa Hawa wa kujirikodi na nyimbo huku akirembua na kuramba lips ndio kabisa hawezi kuwa wife material wangu . Sababu anajihatarisha wahuni lazima watatamani anachoringisha na kuanza kutoa comments za kumsifia na kujenga mazingira ya kula kimasihara kirahisi.

Sehemu nzuri ya kulingisha uzuri ni kwa Mume sasa wanaringisha kwa wengine ili iweje , halafu unakuta mtu kaolewa anajipost hovyo na Wanaume wengine majinga nao unapenda kuwapost Wanawake wao hovyo kuvimba kwa Wana ...
 
Back
Top Bottom