Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Kuna matapeli wengi wanatumia dp za watu wenye majina, kumbuka mastaa wengi hawatongozi bali hutongozwa kwa hiyo akili kichwani mwako.
 
Sosho midia ni uwanja mpana sanaaaa, utakutana na watu wa kusini, mashariki, magharibi na kaskazini.

Halafu sio waoga kabisa kutongoza, mpaka najiuliza hivi ni kawaida?

Mi nimeanza kupost mwaka huu mwezi wa pili nina post chache tu lakini mhhhh! Wanaume!!!!! kama hawa ni wanaume zetu tumekwisha jamani!!!!!

Mtu analike post, then anakuja DM akiona haujibu DM anaenda kulike tena hivyo hivyo hadi umpe attention. Utadhani ana cha maana cha kusema mi nawaangalia tu nasema hiiiiiiiiiiii!Kwa sauti ya Uncle Magu (RIP)
Ngoja ni-like toka uzi wako wa mwanzo humu useme hiiiiiiiiiii tena 🤣🤣
 
Once a cheater always a cheater!
Vipi weye love ukimuelewa mwanamke huwezi cheat????

Anyways, mtoa mada kaongelea vitu vingiii kwa pamoja wajua kichwa yangu ilivo kilaza kuelewa! Msaada wa kueleweshwa pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
I don't cheat...
 
Natofautiana na wewe mkuu

Zaidi ya 90% ya wanawake ninao wajua mimi kibaruani wana michepuko yao nje ya ndoa zao na maisha yanakwenda kama kawaida kwenye ndoa zao

Kunacho kuja kutatiza huwa sio kucheat tu bali baada ya kucheat anapagawa vipi hadi kuathiri mahusiano na mumewe

Ni heri sana kupata mwanamke mwenye akili ya kujitambua……. Anaweza akawa na michepuki mitatu na mume akaamini mke wake ni MWAMINIFI MNO

Tatizo kubwa la kucheat ni pale inapokuja kugundulika na mume…… hapa inakuaga utata sana

Asili ya binadamu haikua NDOA, ndio zilikuja ili kupunguza migogoro ya kupata access ya ngono peke yako kwa mwanamke.
Mwanamke akicheat nje, automatically heshima kwa mume itapungua ipo hivyo.
 
Back
Top Bottom